kungurumanga
Senior Member
- Sep 4, 2015
- 175
- 44
Kumekuwa na mifumo inayowalemaza wanawake hali ambayo hamsini kwa hamsini wanayoililia itafia kwenye makaratasi.
Ili walau ishirini na tano ifikiwe, yafuatayo yafanyike;
Pesa ya mahari itolewe kwa mwanamke au mwanaume atakayekuwa wa kwanza kumzimikia mwenzake, Ofa za bia soda na viepe zisiegemee kwa mwanaume, tukitoka gesti baada ya tendo mwanamke naye awahonge wanaume, hapa kuwe na rotation, pesa za mboga nyumbani zitolewe kwa mfumo wa rotation yaani leo mwanaume kesho mwanamke, wanawake waache tabia ya kutuma pesa kwao na badala yake waendeleze familia yao au pesa zitumwe kwa wazazi wote kwa uwiano.
Nawasilisha wajumbe.