Natafuta mpenzi wakike

Natafuta mpenzi wakike

Ellyson

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2010
Posts
1,714
Reaction score
405
Natafuta mpenzi.

Umri kuanzia miaka 28 hadi 40.

Asiwe mshabiki au mkereketwa wa CCM.
Awe serious.
Niko Moshi, Kilimanjaro kwa aliye tayari tuwasiliane PM.
 
mmh! makubwa, hz habar za ukawa na CCM zinafanya had upeo wa watu wa kufikir unashuka
 
Watu wapo busy na siasa acha kuleta mada za hovyohovyo
Hii siyo mada. Mimi natafuta mwenye sifa ninazotaka mimi. Halafu wewe wa kiume unatafuta nini kwenye huu uzi? Au na wewe unasaka bwana?
 
Vinahusiana sana. Lazima mwendane wenye itkadi zinazoendana. Sasa kama weww ni gamba pita kushoto

Nimeamini Vijana hamjielewi, kuna haja yakuufumua mfumo wa Elimu ili elimu itakayotolewa iwakomboe ninyi watu.
 
mmh! makubwa, hz habar za ukawa na CCM zinafanya had upeo wa watu wa kufikir unashuka

Wewe ulitaka wafikirie vipi na upeo wao wa kufikiri umepungua kivipi? Wewe kama huna hizo sifa unapita kimya kimya sio lazima ukosoe.
 
Nimeamini Vijana hamjielewi, kuna haja yakuufumua mfumo wa Elimu ili elimu itakayotolewa iwakomboe ninyi watu.
Wanajielewa sana ndiyo sababu hawitaki kabisa Ccm. Kwa sababu ccm imeshindwa kuwapa elimu bora.
 
Wewe ulitaka wafikirie vipi na upeo wao wa kufikiri umepungua kivipi? Wewe kama huna hizo sifa unapita kimya kimya sio lazima ukosoe.

Nimekukosoa nin??? Wanaotafuta wachumba wanaweza andika ulichoandika wew hapo?? Acha mambo kijinga bhana!!!
 
Nimekukosoa nin??? Wanaotafuta wachumba wanaweza andika ulichoandika wew hapo?? Acha mambo kijinga bhana!!!
Kila mtu anaandika sifa anazozitaka kwa mwenza wake awe nazo. Nami nimeona sifa kuu ya mwenza wangu asiwe mkereketwa wa ccm basi. Sijui wewe kinakuwasha nini!? Kama huna hizo sifa pita kushoto usinilazimishe nifanane na wengine.
 
Dogo sitaki malumbano na wew. Naona unajifunza kutongaza hapa..
 
Dogo sitaki malumbano na wew. Naona unajifunza kutongaza hapa..
Umekosa hoja wewe king'ang'anizi. Nashangaa kwa nini umeng'ang'ania uzi usio kuhusu. Wewe huna sifa za mimi kukutongoza.
 
Akiwa kwa sebule waongee juu ya UKAWA, akiwa jikoni UKAWA, akiwa bafuni waongee juu ya UKAWA, wakiwa kitandani iwe UKAWA... Yeye ataka hivyo atiii!

Chama na mahusiano wapi na wapi??????? vijana mmechanganyikiwa
 
Back
Top Bottom