Sala za mabinti wa kilokole wanaotafuta wachumba

mdukuzi

JF-Expert Member
Joined
Jan 4, 2014
Posts
22,336
Reaction score
56,113
unajua sala ambazo huwa wanasali mabinti wa kilokole ambao hawajaolewa
hebu pitia hapa nimezipanga kulingana na umri wao

1.miaka 21-24 hawa bado wako chuo na wanajiona bado wadogo so wengi wakati wa maombi huwa wako bize na jamii forum,wasap au facebook wakati waumini na mchungaji wapo bize kuomba

2.miaka 25-29 sikia sala yao,eee Mungu wa Israel Mungu wa Isaka Mungu wa Yakobo,ukasema mtu huyu asikae peke yake ukamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake,baba na mimi naomba unipatie wangu baba najua yuko mahali umeshamuandaa kwa ajili yangu baba asante baba kwani kwako hakuna lisilowezekana baba.

3.miaka 30-35 Baba kama Sara alivyobeba mimba ya isaka akiwa na miaka 90 ,haijalishi nina miaka mingapi kwani kwako kwani umesema katika kile kitabu cha blablabla miaka elfu moja ni kama siku moja na siku moja ni kama miaka elfu moja kwako, naamini Baba unaposikia sala hii nikitoka hapa tayari nimeshampata wangu sitajalii sura yake wala sitajali kama ana kazi au hana sitajali kipato chake wala nini baba kwani najua hivyo vyote ni ubatili mtupu

4.miaka 35 na kuendelea,hawa huwa kimya wakiwa wamekata tamaa na kimoyomoyo wakiimba ule wimbo wa teeenda miujiza,teeenda miujiza ,mwaka huu usipite bila kutenda miujiza

tuwaombee dada zetu
 
Siku hizi ni kazi kutofautisha majukwaa...
 
35 kuendelea utafiti unaonyesha ni wahudhuriaji wakubwa wa fellowships.
 
Mi nataka binti mwenye bachelor and above and serious for marriage, send sms only to 0673465992
 
unajua sala ambazo huwa wanasali mabinti wa kilokole ambao hawajaolewa
hebu pitia hapa nimezipanga kulingana na umri wao

1.miaka 21-24 hawa bado wako chuo na wanajiona bado wadogo so wengi wakati wa maombi huwa wako bize na jamii forum,wasap au facebook wakati waumini na mchungaji wapo bize kuomba

2.miaka 25-29 sikia sala yao,eee Mungu wa Israel Mungu wa Isaka Mungu wa Yakobo,ukasema mtu huyu asikae peke yake ukamtengenezea mwanamke kutoka katika ubavu wake,baba na mimi naomba unipatie wangu baba najua yuko mahali umeshamuandaa kwa ajili yangu baba asante baba kwani kwako hakuna lisilowezekana baba.

3.miaka 30-35 Baba kama Sara alivyobeba mimba ya isaka akiwa na miaka 90 ,haijalishi nina miaka mingapi kwani kwako kwani umesema katika kile kitabu cha blablabla miaka elfu moja ni kama siku moja na siku moja ni kama miaka elfu moja kwako, naamini Baba unaposikia sala hii nikitoka hapa tayari nimeshampata wangu sitajalii sura yake wala sitajali kama ana kazi au hana sitajali kipato chake wala nini baba kwani najua hivyo vyote ni ubatili mtupu

4.miaka 35 na kuendelea,hawa huwa kimya wakiwa wamekata tamaa na kimoyomoyo wakiimba ule wimbo wa teeenda miujiza,teeenda miujiza ,mwaka huu usipite bila kutenda miujiza

tuwaombee dada zetu

Hao wa over 35 nawafananisha na magamba!
 
Tatizo wanasubiri sauti kutoka kwa Mungu awatamkie mchumba ni fulani kama Musa alivyo ongea na Mungu
 
Wanaomaliza chuo huwa wanaomba wapate kazi kwanza ndpo waanze kuomba mume. Ambao wamehitimu chuo na kazi zikawa ngumu km kipindi hiki tena wakiwa wamekaa mtaani bila kaz kwa muda mrefu na umri ukazidi kwenda mbio basi wao huwa wanaomba kwa Mungu wapate kazi na mume papo kwa papo, au huomba wapate mume alafu kaz wapatie wakiwa ndan ya ndoa. Tuwaombee sana ndg zetu!, wanaume wao kilio ni kimoja tu, cha kupata kazi lakini kupata mke wala sio kazi kabisa ni maamuzi na uwezo ulionao. Mungu saidia viumbe wako maana tunaangamia kwa mengi pasipo kujua!
 
Back
Top Bottom