Natafuta rafiki wa kike aliyepo Dar, Moro au Pwani uwe mkristo tena mcha Mungu, uwe unajielewa vyema. Umri usiozidi 27yrs old. Elimu at least for four, ila sipendelei wafupi lengo la langu ni kumpata mtu ambaye ikimpendeza Mungu atakuwa mwenza wangu wa maisha.
Ni pm ili tuyajenge.
Sitaki masihara, kejeli wala matusi
Ni pm ili tuyajenge.
Sitaki masihara, kejeli wala matusi