Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Habari za mda huu wakuu. Mpenzi wangu ambaye nilipendana naye kitambo ana tatizo la kuumwa mara kwa mara na mara nyingi wakati akiumwa hunambia mimi simjali. Siku hiyo nimekaa kuna rafki yangu...
1 Reactions
35 Replies
11K Views
Bila kuwachosha wakuu. Kkama kichwa cha habara kisemavyo kila baada ya siku mbili wa huku anakwenda kule, na wakule anakuja huku. mimi nimegundua leo asubuhi. Wangapaji wenzao wanasema( they...
1 Reactions
59 Replies
6K Views
Utafiti mkubwa uliothibitishwa wa Dr Welsh na wenzake wa hosptal ya Royal Edinburg Uingereza umebaini kuwa wale wanaofanya mapenzi MARA MOJA KWA MWEZI wako katika hatari ya kufa mapema...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
WACHEPUKAJI WENGI WANATABIA HIZI 1.Hachezi mbali na simu yake kila wakati. 2.Inbox na sending items hufutwa kila wakati. 3.Ukimuomba simu yake ghafla lazima akwambie hebukwanza. 4. Kamwe...
7 Reactions
66 Replies
11K Views
Habarini wana MMU! Rejea kichwa cha habari hapo juu, hayo si maneno yangu bali ni rafiki yangu aliniambia kuna jamaa yake kamfumania mchumba wake live na mwanamume mwingine wakigawiana tunda...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Baada ya kuitazama hii video nimeona niwaletee huku jukwaa la Magonjwa ya Moyo na Utu muitolee maoni yenu. Je, mkeo ndiyo anamfanyia hivyo mzazi wako, ungefanyaje?
0 Reactions
22 Replies
6K Views
habari zenu, mimi nikijana wa kitanzania nina umri wa miaka 23. Nahitaji binti wa kiislam wa kuwa nae na mungu akijaalia nimuoe. Awe na miaka 20-23 awe asiwe kibonge lakini. Namba yangu...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Nyakati, exposure, teknolojia, n.k. zimepelekea siku hizi si ajabu kukuta mwanamama ana-make moves on you. Kama ilivyo kwetu baadhi ya wanaume, wanawake pia wana pick-up lines. Kuna mwanadada...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
I love the idea of "one night stand", but i can't do it in real life.
0 Reactions
21 Replies
2K Views
Baada ya kuzunguka huku na kule nilifanikiwa kupata msichana kupitia forum hii ya love connect ofcoz ni msichana mzuri sana na yupo serious na mahusiano tatizo ni kwamba nahisi kama namuonea...
1 Reactions
64 Replies
7K Views
Jamani ninaandika kwa ghadhabu sana juu ya hii tabia ya huyu mwanamke, huyu mwanamke huwa anatabia ya kuchukua simu yangu na kupitia message, call zote na baada ya hapo huanza kusaka namba...
4 Reactions
151 Replies
17K Views
Kitu set..
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu, Kuna hii kitu inakera sana sana, utakuta mijitu mizima wengine mpaka wana mvi kichwani pale Mlimani City wanafanya mambo kama watoto wa chekechea ukiwauliza wanadai ni uzungu. Utakuta...
5 Reactions
142 Replies
16K Views
... Wanaume wenye kasoro hizi hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalix2, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbli nk... Kasoro..... 1: Wanaume WAFUPI.... Hawa hawajiamini siku zote...
13 Reactions
279 Replies
26K Views
Huku pande za Tabata_Kisukuru kuna mtoto mzuri mweupeeh! Baada ya kuzungumza nae vema,akaniambia niende kwa wazazi wake tukayajenge! Nimefika kule wao wanataka nitoe ng'ombe 49,vinginevyo hakuna...
1 Reactions
69 Replies
7K Views
Husika na kichwa ha habari hapo juu, Nina umri wa miaka 24, naitaji mwanamke atakae nizalia mtoto tu, uwe mrefu mfupi mweupe mweusi mbaya mzuri umri uwe umekwenda au haujaenda hayo ni ya kwako...
0 Reactions
39 Replies
4K Views
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni, mwanamke moja aliyekua akiishi na mumewe na watoto wa 3, maeneo ya wilaya ya Ngudu, amepigwa talaka 3 kwa mpigo na mumewe baada ya kuikuta kadi ya CHADEMA...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
1. Ualimu 2. Askari magereza 3. Fundi ujenzi 4. Kondakta/utingo 5. Mgambo Ila ukisema unafanya kazi maeneo haya, utakubaliwa asubuhi na mapema; 1. Migodini 2. Siasa 3. Ikulu 4. Bandarini...
3 Reactions
159 Replies
20K Views
Tangu zianze kampeni nyumba yangu ina mgogoro mkubwa. Nipo kwenye msafara wa kumnadi mgombea mmoja . Sasa tangu mda mrefu wife anadai anifuate niongozane naye kwenye huo msafara mimi...
0 Reactions
42 Replies
6K Views
Wakuu, Nimeishi na mke wangu kwa miaka 3 na tunafamilia. Wivu uliopitiliza alionao mke wangu unanipa wakati mgumu. Simu ikipigwa atauliza nani huyo na kama haitoshi lazima aikague hata kama ni...
1 Reactions
28 Replies
7K Views
Back
Top Bottom