Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Huku pande za Tabata_Kisukuru kuna mtoto mzuri mweupeeh! Baada ya kuzungumza nae vema,akaniambia niende kwa wazazi wake tukayajenge!
Nimefika kule wao wanataka nitoe ng'ombe 49,vinginevyo hakuna kubeba goma!Sasa kiukweli miye mpaka sasa mifugo niliyonayo ni kuku mmoja na njiwa watatu,vipi nikijaribu kuongea nao vema hawa wazazi wanaweza kunielewa kwenye hicho kipengele?
Karibuni kwa mchango, hasa wa mawazo.