Wapangaji wangu wanabadilishana wake zao

Wapangaji wangu wanabadilishana wake zao

back town

JF-Expert Member
Joined
Jul 8, 2015
Posts
471
Reaction score
365
Bila kuwachosha wakuu.

Kkama kichwa cha habara kisemavyo kila baada ya siku mbili wa huku anakwenda kule, na wakule anakuja huku. mimi nimegundua leo asubuhi.

Wangapaji wenzao wanasema( they keet it as secret) Mausiano yao ni (sexual, emotional, spiritual and different combination) when i had ask them . answ from them (the enjoyed when being engaged also enjoyed the defferent which god brougth to them ).

Nimechanganyikiwa sijui nifanye nini kama baba mwenye nyumba!
 
tutakuwa tupo tofauti na u TANGANYIKA WETU pesa sio tatizo miss chagga
 
Back
Top Bottom