Wanaume wenye mapungufu haya hujisifia kwa wanawake waonekane wako juu...

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,851
16,749
... Wanaume wenye kasoro hizi hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalix2, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbli nk...

Kasoro.....

1: Wanaume WAFUPI....

Hawa hawajiamini siku zote.... ni wengi ni wa show off kwa mademu, hasira kwao ni jadi... wanawake wengi huwachukia.... wanajisifia kwa vyote kuficha kutokujiamini
kwao.... ukiwasikiliza utashangaaaa...

2: Wanaume MASKINI ILA ANAPENDA USHAROBARO...

... Hawa sina la kuwaelezea.... utafikiri Jay-Z au P-Diddy
kwa nje.... Ila sasa wajue walivyo utashangaaa, ila wanawalamba mademu wa shapshap ambao hawana serious future relationship.......wanajisifia kuficha HALI YAO HALISI NGUMU....

3: Wanaume wanaojifanya WAJUAJII...

yaani hawa waangalie sana wanataka waonekane wanajua....kila kitu....tena atabishana hata na mtaalamu
wa fani fulani.... YOTE KUFICHA MAPUNGUFU YAO.... YA KUTOKUJUA, labda ana kiwango kidogo cha elimu etc....

4: WANAUME WENYE FEDHA HALAFU MASKINI WA ELIMU....

Hawa hawana tofauti na sharobaro, opposite is true....

Researched & confirmed....!!!

I am done....
 
... Wanaume wenye kasoro hizi hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalix2, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbli nk...

Kasoro.....

1: Wanaume WAFUPI....
Hawa hawajiamini siku zote.... ni wengi ni wa show off kwa mademu, hasira kwao ni jadi... wanawake wengi huwachukia.... wanajisifia kwa vyote kuficha kutokujiamini kwao.... ukiwasikiliza utashangaaaa...

2: Wanaume MASKINI ILA ANAPENDA USHAROBARO...

... Hawa sina la kuwaelezea.... utafikiri Jay-Z au P-Diddy kwa nje.... Ila sasa wajue walivyo utashangaaa, ila wanawalamba mademu wa shapshap ambao hawana serious future relationship.......wanajisifia kuficha HALI YAO HALISI NGUMU....

3: Wanaume wanaojifanya WAJUAJII...
yaani hawa waangalie sana wanataka waonekane wanajua....kila kitu....tena atabishana hata na mtaalamu wa fani fulani.... YOTE KUFICHA MAPUNGUFU YAO.... YA KUTOKUJUA, labda ana kiwango kidogo cha elimu etc....

4: WANAUME WENYE FEDHA HALAFU MASKINI WA ELIMU.....

Hawa hawana tofauti na sharobaro, opposite is true....

Researched & comfirmed.....

I am done....

We umenena!
 
Mwenye pesa afu elimu hana...afu akutane na wife au girlfriend alomzidi elimu lazima wife/girlfriend ajuuute kumfahamu...ni wanyanyasaji sana; wanataka kukuonyesha kuwa pesa ni kila kitu.

Na wanapenda wenye elimu ili wa show off kuwa wanaweza kuwa na mwanamke yeyote as long as wana pesa.
 
Umetukosea mnaotuita wafupi kwa kweli. Mbona mi mfupi halafu siyo short tempered kama rafiki yangu aliyenizidi urefu ambaye kila wakikosana na shem ni nadra kutomtia kikofi.
 
... Wanaume wenye kasoro hizi hujikweza sana kwa wanawake kwa njia mbalix2, mfano, msgs, facebook, picha mbalimbli nk...

Kasoro.....

1: Wanaume WAFUPI....
Hawa hawajiamini siku zote.... ni wengi ni wa show off kwa mademu, hasira kwao ni jadi... wanawake wengi huwachukia.... wanajisifia kwa vyote kuficha kutokujiamini kwao.... ukiwasikiliza utashangaaaa...

2: Wanaume MASKINI ILA ANAPENDA USHAROBARO...

... Hawa sina la kuwaelezea.... utafikiri Jay-Z au P-Diddy kwa nje.... Ila sasa wajue walivyo utashangaaa, ila wanawalamba mademu wa shapshap ambao hawana serious future relationship.......wanajisifia kuficha HALI YAO HALISI NGUMU....

3: Wanaume wanaojifanya WAJUAJII...
yaani hawa waangalie sana wanataka waonekane wanajua....kila kitu....tena atabishana hata na mtaalamu wa fani fulani.... YOTE KUFICHA MAPUNGUFU YAO.... YA KUTOKUJUA, labda ana kiwango kidogo cha elimu etc....

4: WANAUME WENYE FEDHA HALAFU MASKINI WA ELIMU.....

Hawa hawana tofauti na sharobaro, opposite is true....

Researched & comfirmed.....

I am done....

kweli mkuu, mimi nimescore zote nne.... na ninakera kweli
 
he he he, wafupi wana kadhia yako ya 'possession'
ila wana akili, hilo tu.

Kuna mahali nilienda fanya kazi, huyo mbaba mrefuu afu bonge la mwili, lakini ubongo wake ulikuwa piriton.

Agreed, sijawahi kukutana na mtu mrefu sana akawa kipanga!
 
he he he, wafupi wana kadhia yako ya 'possession'
ila wana akili, hilo tu.

Kuna mahali nilienda fanya kazi, huyo mbaba mrefuu afu bonge la mwili, lakini ubongo wake ulikuwa piriton.
hahaha, umenikumbusha mbali kweli, nilipokuwa secondary, tulikuwa na headmaster fulani hivi, alikuwa mnyakyusa alikuwa na mwili mkubwaaaa, lakini akili kidogo ajabu yaani hadi unamshangaaa....
 
100% take A+....

Mwenye pesa afu elimu hana...afu akutane na wife au girlfriend alomzidi elimu lazima wife/girlfriend ajuuute kumfahamu...ni wanyanyasaji sana; wanataka kukuonyesha kuwa pesa ni kila kitu.

Na wanapenda wenye elimu ili wa show off kuwa wanaweza kuwa na mwanamke yeyote as long as wana pesa.
 
Mwenye pesa afu elimu hana...afu akutane na wife au girlfriend alomzidi elimu lazima wife/girlfriend ajuuute kumfahamu...ni wanyanyasaji sana; wanataka kukuonyesha kuwa pesa ni kila kitu.

Na wanapenda wenye elimu ili wa show off kuwa wanaweza kuwa na mwanamke yeyote as long as wana pesa.

hawa hawachelewi kumwamnia mke aache kazi/biashara akae nyumbani.....
 
Back
Top Bottom