Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,010
- 23,656
Nyakati, exposure, teknolojia, n.k. zimepelekea siku hizi si ajabu kukuta mwanamama ana-make moves on you. Kama ilivyo kwetu baadhi ya wanaume, wanawake pia wana pick-up lines.
Kuna mwanadada tunafanya kazi eneo moja, ila ofisi tofauti. Ndiyo tumeanza kuwa na mazoea karibuni tu. Sasa juzi kaja na issue ya kikazi anahitaji msaada kidogo. Nikamrekebishia kazi yake, akaniambia "ubarikiwe sana". Nikamwambia "asante. Unaendaga kanisani?". Akasema "Yes. Huwa naenda". Nikamwambia "Ni poa. Basi utaniombea". Akaniuliza "Nikuombee kitu gani?". Nikamwambia "Chochote tu. Utachagua". Akasema "Naona kidoleni ni patupu. Nitakuombea kuhusu hilo". Nilibaki kucheka tu, cuz she really caught me off-guard. Nikamuuliza "Vipi wewe? Kidole kimependeza tayari, nini?". Akanionyesha mkono wake "No. Nitaomba kwa ajili yetu wote basi". Sijui kama ilikuwa pick-up line, ama ni mazungumzo ya kawaida tu. Ila kila nikifiria natabasamu tu.
Ni line gani imewahi kutumiwa na mwanadada yeyote kwako, ikakufanya ufikirie "Damn! She got game"?