The Businessman
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 7,396
- 9,264

Utafiti mkubwa uliothibitishwa wa Dr Welsh na wenzake wa hosptal ya Royal Edinburg Uingereza umebaini kuwa wale wanaofanya mapenzi MARA MOJA KWA MWEZI wako katika hatari ya kufa mapema ukilinganisha na wale wanaofanya mapenzi MARA MBILI KWA WIKI.
Dr Welsh anasema tendo la ndoa ni Afya hivyo linapunguza msongo wa mawazo na kumfanya mtu apate usingizi mzuri.
JE WANA MMU MNAKUBALIANA NA HUO UTAFITI?