Habarini wana MMU!
Rejea kichwa cha habari hapo juu, hayo si maneno yangu bali ni rafiki yangu aliniambia kuna jamaa yake kamfumania mchumba wake live na mwanamume mwingine wakigawiana tunda.
Jamaa keshalipa mahari na kila kitu kinachohitajika kwa ajili ya kukamilisha ndoa yao.
Wazazi walikuwa wamesharidhia na ndoa ilipangwa kufanyika mwezi wa kumi yaani mwezi ujao!
Katika kupiga story rafiki yangu akaniuliza, nanukuu, "Jamaa yangu kaniomba ushauri, nimwache au niendelee naye" mwisho wa kunukuu!
Nimeamua kulileta kwenu pia ili tuweze kumshauri huyu kaka maana nasikia kachanganikiwa sana!
Nawasilisha!