Mwanamke alimwa talaka 3 baada ya kujiunga na UKAWA

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Joined
Jul 21, 2015
Posts
2,567
Reaction score
419
Ukistaajabu ya musa utaona ya firauni, mwanamke moja aliyekua akiishi na mumewe na watoto wa 3, maeneo ya wilaya ya Ngudu, amepigwa talaka 3 kwa mpigo na mumewe baada ya kuikuta kadi ya CHADEMA katika mkoba wake mumewe ni mwanachama wa muda mrefu wa CCM na kuna kipindi aliwahi kuwa diwani kwa tiketi ya CCM.

Jamani siasa zimefikia hatua ya kuvuruga familia?
 
ngudu sehemu gani coz huko nilishakaaga kidogo
 
asihofu ngoja tumalize hii kazi ya kumtoa huyu mkoloni atapata mme mzuri tofaut na huyu asiejielewa sasa hivi ngu na akili zetu ziko october 25
 
Back
Top Bottom