Chukua Sumu hizi hapo hatoki ng'o

Chukua Sumu hizi hapo hatoki ng'o

youngsharo

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2015
Posts
2,491
Reaction score
500
Upendo wangu kwako ni kama Vijana wa bodaboda kwa Lowassa, najua unapendwa na wengi kama Lowassa ila mi ningeomba niwe karibu yako kama mbowe, sitaki kutoa ahadi nyingi kama CCM, ila tu nakuahidi kitu kimoja NITAKUPENDA KWA DHATI,
nitajitwisha lawama zote kama mbatia, nipo tayari kukutetea kwa kila baya litakalosemwa juu yako, na kamwe sitokuja Kukusaliti kama Dr Slaa na Chadema, tuendelea kuishi pamoja kama Magufuli na Ccm, naomba uwe mkweli usijivike uongo kama TWAWEZA maana uongo ukigundulika ni aibu kwako na sitokuamini tena.
 
Usiwe mkurupukaji kama pombe push ups .ukibishiwa kuwa una mkono wa sweta utawadhibitishia jukwaani wananchi ulivyotahili. Usifanye vituko kuwafurahisha wat
 
Usiwe mkurupukaji kama pombe push ups .ukibishiwa kuwa una mkono wa sweta utawadhibitishia jukwaani wananchi ulivyotahili. Usifanye vituko kuwafurahisha wat
Mimi nilicho Gundua ni kuwa Magufuli ni mtu wa ovyo sana. Hata ukimsikiliza utagundua kuwa ni mtu wa kukariri, kukurupuka na kutenda kwa sifa.Ni bora Kikwete abaki madarakani kuliko Magufuli. He is a mess..
 
ni kweli kabisa mkuu.
 
NAKupandisha then nakushusha...mate ptuu chini
 
Back
Top Bottom