Erickson0708
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 207
- 34
Ni msichana niliempenda kwa dhati miaka 5 iliopita.
Lakini alipoenda chuo alibadilika akapata mabwana wengine tukaachana.
Leo hii amemaliza chuo anadai kuwa ananipenda mimi duh!