Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mpo? Kwa kawaida kila kazi ina kipindi cha retreat na kujirefresh. Tangu nipate uhamisho ndio kwanza tumeenda. Tatizo ni kwamba kumbe kila 'me' huku amejipanga na 'ke' wake ambao wote ni...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Hivi hii movie ya Trinita,mwanamke anapomwomba rafiki yake aende kwa boyfriend wake akajipitishe ili jamaa STROM amtokee,nimejiuliza,wanawake huwaza nini? Je,wapo kweli wa hivo eti anataka kujua...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Natafuta rafiki wa kike wakubadlishana nae mawazo.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Hii niliwahi kushuhudia miaka ya nyuma na hata sasa bado Ipo. Unakuta binti akisikia mwenzake anaolewa hasa na mwanaume mwenye pesa au haiba fulani ya juu anaweza kumuanzishia visa na kumsema...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari, Nimeota wangu wa zamani anaoa mwanamke mwingine usiku huo huo nimeota ndoto nyingine kua amefariki na nimesimama kwenye jeneza lake nalia najiuliza kitu gani kimemuua. Naogopa sana.He...
2 Reactions
27 Replies
9K Views
Kuna jamaa mmoja anaomba niwakumbushe wazazi mrudishe tabia za kukaa na mabinti zenu mzungumze wazi kwa kuwa mmewakanya ila wameshindwa kuacha uzinzi na starehe zote basi wafundisheni usafi tu...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Waheshimiwa nawasalim, Najua ni blue Monday lakini naomba hivyo hivyo mpokee malalamiko yangu. Kwa sasa naishi na mchumba wangu ambae ana mimba ambayo bado ni ndogo sana, baada ya mimba hiyo...
0 Reactions
32 Replies
4K Views
Habari wana jf, Wale wadada wajuvi hebu muukate huu muzizi wa fitina kati ya these two choices,who is more pleasurable between the two beasts...Jamaa yako anaekurusha kwa dk.5 then anapizz na...
0 Reactions
46 Replies
6K Views
--- UNAKUBALI AU UNAKATAA, JE WAJUA KUWA...!? --- 1. MASIKINI akitembea kwa miguu, kwake ni shida na kutokuwa na usafiri ni mateso, Ila kwa Tajiri Kutembea kwa miguu ni mazoezi tu na ni tiba...
6 Reactions
24 Replies
10K Views
Do we agree with this statement kutoka kwa watafiti wetu? Tanzanian are you there? East Africa yote ni Kenya na Rwanda tu!
0 Reactions
24 Replies
4K Views
Wanajukwaa, Nimekuwa nikikosa kujiachia nipendavyo kutokana na kelele za kulia+miguno wakati tupo kwa ile 6 kwa 6, imekuwa inanilazimu nipunguze mashambulizi kwani kelele zake zinavuka mipaka...
2 Reactions
148 Replies
18K Views
Binafsi bado nko mtaa nasaka life hafu npo mbal na yule nmpendae.Daah nimeumia sana ila ndo hivyo niliempenda leo kaniambia hivi namnukuu. "Sikupenda kuolewa ila wewe mwenyewe unatambua maisha...
1 Reactions
30 Replies
3K Views
Hebu tujiulize kwanini wanawake ni wengi kuliko wanaume? Kwanini wana uzuri, maumbile na tabia tofauti? Je wanapozaliwa wengi kuliko wanaume ni bahati mbaya? au ni mpango maalum wa Mungu ambao...
0 Reactions
28 Replies
9K Views
Hai natafuta rafiki wa kike nichati nae mimi nipo Morogoro nae awe wa Morogoro awe mkristo elimu form4 na kuendelea umri miaka 20 hadi 23. Ani PM alipo tayari tuwasiliane.
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari za jumapili wana jf Mimi nina mchumba wangu ambaye kuna siku niliomba ushauri humu wa jinsi ya kumfanya ili apende kufanya usafi maeneo yake. (Huyu mwanamke hataki kufanya usafi) Mbali...
1 Reactions
47 Replies
9K Views
Nina mchepuko ambao una jamaa yake wanaishi wote.Sasa ishu ni kwamba jamaa amemwambia mchepuko kuwa alienda kwa mganga na amemwekea mtego kwamba akichepuka tu anagandana na mwanamme aliyetembea...
1 Reactions
27 Replies
3K Views
Habari za Leo wanajf. Mimi ni mume wa mtu. Nina ndoa ya miaka mitano. Kwenye ndoa kuna masaibu mengi. Lakini nimekuja kugundua kuwa love u r wife with all u r heart. Mpende mpaka basi. Yeye peke...
22 Reactions
87 Replies
10K Views
Nipo kwenye mahusiano na mdogo nilimjua kupitia dada mtu tulishawahi kuwa na mahusiano na dada mtu na nilimueka wazi mdogo mtu ila mdogo mtu ana wivu kila ninapotaja jina la dada yake kwenye...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Mimi pia ni mwanaume mtu mzima natafuta mke nae awe mtu mzima wa kuanzia miaka 45 na kuendelea
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Wana Jf naomba ridhaa yenu na utayar wenu katika hili. Nahitaj na kutafita binti mlokole ambae yuko makini na tayar kwa kua katika mahusiano ya malengo. Pia asiwe muongo. Aliyekua tayar tafadhali...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…