Ushauri: Anawivu anahisi bado nipo na dada yake

Ushauri: Anawivu anahisi bado nipo na dada yake

mswati wa tz

Member
Joined
Nov 5, 2014
Posts
34
Reaction score
16
Nipo kwenye mahusiano na mdogo nilimjua kupitia dada mtu tulishawahi kuwa na mahusiano na dada mtu na nilimueka wazi mdogo mtu ila mdogo mtu ana wivu kila ninapotaja jina la dada yake kwenye mazungumzo yetu na napata wakati mgumu pale ninapo kuwa nao wote kwa pamoja.

Ninifanyaje maana bado na safari ndefu na nahisi mdogo mtu anaweza kuja kukata tamaa na kuwa na mtu mwingine.
 
Mswati wa tz ktk ubora wake!
 
Mswati gani wewe unamiliki wawili tu??!!! Ebo! Embu ongeza na wengine watatu ili wafike watano! we vepe bhana? acha kuaibisha title hilo.
 
Kuna umuhimu wowote wa kutaja jina la dada mtu unapokua na mdogo mtu? Mwanaume mjinga huivunja ndoa yake kwa mikono yake yeye mwenyewe. Kama unamtja kwa bahati mbaya basi mungu akuongoze, ila kama unamtaja kwa kumrusha roho basi unafeli!!!
 
Huyo dada naye hana akili.Mtu katoka na Dada yake naye humohumo.Haoni aibu?Kama ni mimi dawa yako ni kukuacha tu
 
Acha tu aendelee kuwa na wivu..Kwanza alianzaje kushare dudu na dada yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom