Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Wakuu, Natafuta Mchumba mwenye umri wamiaka 18 – 24, elimu angalau kidato cha 4 na asiwe mnene wala mwembamba sana.Mimi ni kijana wa miaka 27, nina elimu ya Chuo na nampenda sana Mungu...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
Habari wakuu, Mimi ni kajana wa miaka 24,hapo mwanzo nilikuwa na mchumba wangu(first love) niliyedumu naye kwa miaka 3 na badae alifariki kutokana na upungufu wa damu. Nilimpenda sana na...
1 Reactions
56 Replies
11K Views
Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu Jumapili njema
0 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni binti ambae alikuwa first lover wangu since 2010 lkn imefika january mwaka huu tukaachana coz alikosa uaminifu kwang baada ya kwenda chuo. Namimi nikapata msichana mwingine ambae anaonyesha...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
utafiti nilioufanya na kushauriana na halmashauri ya kichwa changu nimegundua kwamba mbu anasaidia kueneza HIV. mbu akimng'ata mwenye HIV halafu akaenda kumng'ata na kumtapikia mtu ambae hana HIV...
0 Reactions
28 Replies
7K Views
Wadau, Nina mchepuko ambae miezi michache iliyopita alipata matatizo kazini, kabla ya matatizo hayo hakua anaomba hela kabisa, kitu ambacho kilinivutia sana, Nina majukumu mengi nyumbani kwangu...
1 Reactions
86 Replies
7K Views
Kwa ujumbe huu nawajulisha kuwa kama kuna msichana ambaye yupo tayari kuolewa tafadhali ani PM na aweke contact zake for further conversation am so sirious sio matani mke/mume hupatikana popote...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ni muda sasa hali hii imekua ikinishangaza, yaani ipo hivi; mimi popote niwapo, ikitokea nimekutana na mwanamke ni lazima atabadilika! Mfano, napita sehemu na kuna mwanamke anakuja tupishane, basi...
0 Reactions
96 Replies
10K Views
Pale una mkuta mtu na msichana ambaye wewe una muona sio mzuri wala havutii ila mwenzako kampenda sana , hapo ndo uta gundua mapenzi ni mazoea.
0 Reactions
18 Replies
4K Views
Wandugu, Naishi Boma N'gombe - Moshi na nahitaji marafiki wa kike tajwa hapo juu kutoka sehemu yoyote TANZANIA Sifa; Awe anapenda kuchat (ila sio addicted) Hata akiwa na mtoto sio shida Awe...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
JE, UNAJUA NI KWANINI NDOA HAZIDUMU? Ndoa hazidumu kwa sababu kabla ya kufunga ndoa watu wanakuwa Obssesed na Wedding Ceremony Imaginations, bila kujua ndoa inaenda mbali zaidi! Kuna ndoa na kuna...
7 Reactions
54 Replies
6K Views
Tunakaa kota jirani yangu mmoja alinifata kunilalamikia juu ya jirani yetu mwingine,wakiwa wanaduu na mumewe wanaskia sauti za mahaba,ananiomba ushauri kama amwambie au la!mimi nimeona kumwambia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hii ni kwa wale tu wenye malengo ya kuwa mamilionea siriaz...
2 Reactions
48 Replies
8K Views
Wakuu habarini humu, Kama wiki mbili zimepita kuna ofisi moja maarufu sana hapa Mji wa Mawe aka Roku city,kuna Brother wangu ambae hapo ni Meneja sasa nikafika kwa ajili ya Interview ila...
4 Reactions
126 Replies
16K Views
Kuna tabia humu zinakera sana, zikome haraka sana. [LIST=1] Tabia ya kila ukiletwa uzi na mwanaume kuhusu mke wake wanaume karibu wote wanamshauri mwenzao amwache mke wake, hiyo tabia mkome...
25 Reactions
208 Replies
16K Views
I have been in a barf love for tang by hern of years with the boerturn of hugmad love.she loved me and i ferd by calniverl as never ever husk by marves and oldered.i feel shy to inkl you the story...
2 Reactions
120 Replies
9K Views
Waungwana naomba kuuliza, Hivi kutafuta mpenzi mitandaoni, ndiyo imekuwaa fasheni au ni kushindwa kuongea na yule umpendaye face to face { domo zege }?
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wakuu, Rafiki yangu kanitembelea jana, nilipokuwa namsindikiza akanidokeza kuwa anajua kuwa mkewe hampendi, maana haishi vituko...kila kukicha ni lawama na kumzushia mambo k.v. huko alikotoka...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Mimi kijana poa sana natafuta marafiki wa kike wa kubadilishana nao mawazo alie tayari ani PM
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mpo? Kwa kawaida kila kazi ina kipindi cha retreat na kujirefresh. Tangu nipate uhamisho ndio kwanza tumeenda. Tatizo ni kwamba kumbe kila 'me' huku amejipanga na 'ke' wake ambao wote ni...
0 Reactions
57 Replies
6K Views
Back
Top Bottom