Hivi hii movie ya Trinita,mwanamke anapomwomba rafiki yake aende kwa boyfriend wake akajipitishe ili jamaa STROM amtokee,nimejiuliza,wanawake huwaza nini????je,wapo kweli wa hivo eti anataka kujua kama jamaa anampenda!!!!!!.
Hayo mambo ya watoto WA primary na olevel watu wazima hakunaga labda kama unataka kulia kilio cha mbwa mwitu
Kweli mkuu,hata wahusika wakuu wa movie naona wameishia kulia tu
sasa ikawaje?