Mlokole wa ukweli

Mlokole wa ukweli

Kijiti

Senior Member
Joined
Apr 24, 2011
Posts
190
Reaction score
27
Wana Jf naomba ridhaa yenu na utayar wenu katika hili. Nahitaj na kutafita binti mlokole ambae yuko makini na tayar kwa kua katika mahusiano ya malengo. Pia asiwe muongo. Aliyekua tayar tafadhali ni pm au kama unamfaham mlokole ambae yupo loose pliz connect ......
Nawasilisha
 
Hizo sifa ulizoziainisha na wewe unazo?
 
Mbona machangu wengi sana wameokoka siku hizi baada ya kuchoka kuchezewa, au hutembei mkuu? Huko makanisani ndiyo kumekuwa maskani mwao, ila usiingie kichwa kichwa utadhalilishwa kwani wengi wao ni wasanii tu, wanatafuta ndoa.
 
Kawatafute kwenye mahekalu ya kilokole.
 
Wana Jf naomba ridhaa yenu na utayar wenu katika hili. Nahitaj na kutafita binti mlokole ambae yuko makini na tayar kwa kua katika mahusiano ya malengo. Pia asiwe muongo. Aliyekua tayar tafadhali ni pm au kama unamfaham mlokole ambae yupo loose pliz connect ......
Nawasilisha

Ulokole ni kitu cha kiroho zaidi cha kimungu zaidi ....mapenzi ni kitu cha kihisia zaidi, kidunia zaidi...unaweza kumpata mlokole haswa lakini akawa na tatizo kubwa sana kwenye mahusiano. ....! Hilo ni angalizo tu nimekupa
 
Ntajua jinsi ya kuishi nae muhim apatikane kwanza wadau
 
ni kama sijakuelewa vile mkuu ulichotext hapa
Ulokole ni kitu cha kiroho zaidi cha kimungu zaidi ....mapenzi ni kitu cha kihisia zaidi, kidunia zaidi...unaweza kumpata mlokole haswa lakini akawa na tatizo kubwa sana kwenye mahusiano. ....! Hilo ni angalizo tu nimekupa
 
ni kama sijakuelewa vile mkuu ulichotext hapa
ladyfurahia Ulokole ni innermost self na Mungu wakati mapenzi ni inner most feelings na mpenzi ni vitu viwili tofauti kabisa
Kumpata mpenzi mlokole ni kinga tu ya kuogopa kuchapiwa kwakuwa atakuwa na hofu na Mungu lakini kwenye ishu za mapenzi hiyo ni idara nyingine kabisa yenye vigezo vingine kabisa
Kuna ishu ya ngono itakuwa involved hapo wote tunajua nini hutokea huko vitandani wawili wakiwa uchi..! Hapa hakuna Ulokole hapa ni kitu kingine kabisa chenye kuhitaji ufundi kwa ajili ya kupoza tamaa na kuuridhisha mwili kihisia
Ulokole unakuja kurejea mwili ukishamaliza kufanya secretion(in whatever language you may describe it )na kuwa katika hali ya utulivu
Na ndio maana majuto huja baada ya tendo na si kabla au wakati wa tendo kwakuwa baada ya tendo ndio ile innermost self ya kimungu hurudi kutake over
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom