Mwanamke anapokuwa aggressive sana ni tatizo kwani wanawacontrol hadi wame zao..nakubaliana na wewe kuwa Wakikuyu,na Wanyarwanda wako hivyo...kwa TZ ni Wachagga na Wahaya.
Nipe correlation ya kuwa aggressive na kumcontrol mwanaume.
Well,Aggressiveness inamjengea mtu yeyote kujiamini (believe in selfness) Pia inamjengea uthubutu(nafikiri ndio Courage in english) Hayo yote akiwa nayo Mwanamke(si wote) ni rahisi kuamini kuwa hata Mwanaume anapaswa kuwa chini yake.
Hali Hii wanayo sana wanawake wanasheria. Findout mkuu.
Rwandaise have the beauty to be aggressive. Kenyans on the other hand, should just be humble.
.....meaning Kenyans aren't that beautiful??!!
Kumcontrol mwanaume imejikita kwenye utamaduni na sio kuwa aggressive.
Kuna wanawake wengi sana (asilimia kubwa) ni aggressive lakini wanakuwa controlled na waume zao.
Na kuna wanawake wasio aggressive na wanawamiliki waume zao haswa.
.....meaning Kenyans aren't that beautiful??!!
Haha you like putting me on spot huh bruh?
I mean't Kenyans ain't got the beauty to be aggressive, not that they aren't beautiful.
Just say it.....
inategemea una tafsiri vipi aggressive...kama ni compliment au negative critics
Mkuu nakubaliana nawewe ila sio wanawake asilimia kubwa! Aggressivenes inajengwa zaidi na vitu viwili
1) Elimu
2) Exposure
Vyote hivyo akiwa navyo Mwanamke ni rahisi kuargue na Mwanaume sana na wengi wakishakuwa navyo vyote viwili huwa hawakubali kuwa submissive to Men rather they want to take themselves in control.
Pia wengi ambao hawana hivyo viwili wanakuwa Humble sana kwa Wanaume (Something that most men expect from women) rather than being too Aggressive.
Hivyo ndio najua.
Sometimes kuwa aggresive is a compliment.
E.g In business.
Halafu wakati mwingine ni a weakness,
E.g in relationship kwani ladies should be submissive.
noooo! Mean ''angry, and behaving threatening way''