Tuwapende wake zetu. Nimeamini

From Sir With Love

JF-Expert Member
Sep 13, 2010
2,076
3,797
Habari za Leo wanajf. Mimi ni mume wa mtu. Nina ndoa ya miaka mitano. Kwenye ndoa kuna masaibu mengi. Lakini nimekuja kugundua kuwa love u r wife with all u r heart. Mpende mpaka basi. Yeye peke yake inawezekana ndo mwanamke anayekupenda jinsi ulivyo no matter what. Na inawezekana ndo mwanamke peke yake unayemgegeda bila kutoa hela.

Katika kazi zangu nimekuwa nafanya kazi na mdada mmoja mke wa mtu. Baada ya kuzoeana akaanza kuniambia kuhusu mapungufu ya mume wake na mapungufu ya ndoa yake. Kosa langu ni kutaka kumsaidia kimawazo. It was the biggest mistake. Kilichofuata tulijikuta tuna mapenzi mazito sana sana. Kiasi kwamba ikabidi Mimi nimwambie what we are doing sio. Haya mapenzi tuyahamishie majumbani mwetu. Hakuwa tayari kwa hilo. Akasema ninamgegeda kiasi ambacho mume wake haoni ndani. Kwangu anasema naongea naye vizuri. Nina jali. Nina huruma na upendo wa kweli. Na ninamtreat kama mwanamke mpaka raha.

All in all akaomba nikipata safari ya semina nimpange apate per diem kwani Ana shida na pesa(naweza kumpanga safari nikitaka) basi nikampanga safari moja mkoa Fulani. Wakati huo mi nilikuwa mkoa mwingine kabisa. Baada ya Mimi kumaliza kazi mapema nikasema ngoja nimsuprise nilipokuwa nimempanga kwenye seminar. Nilifika mkoa aliokuwa mida ya saa mbili ucku. Kwa sababu hotel aliyofikia nilishaifahamu nikaamua muda usogee kidogo ili nimsuprise vizuri. Nikawa nimeenda sehemu kupata mbili tatu.

Kama saa tatu ucku huo akatuma SMS kuuliza mbona kimya halafu akatuma SMS tena kusema analala. Dah nikaona sio kawaida. Nikaamua kumalizia kilaji fasta nikaenda alipofikia. Kuuliza reception wakasema alitoka na hajarudi.

To cut the story short alirudi baadaye sana na taxi ambapo kwenye taxi alikuwa yeye na mwanaume. Kumbuka nilipofika hapo hotelini kwake sikumpigia simu kujua yuko wapi. Alivyorudi akaomba msamaha pale lakini sikumwelewa. Ikabidi nikalale sehemu tofauti. Kesho yake nikaondoka nikarudi dar makao makuu. Nilivyofika home nilimwona mama watoto kama malaika. Kwa kweli nilimpenda sana mke wangu. Na mpaka sasa huniambii kitu. Baada ya siku moja yule mke wa mtu alinieleza kilichotokea lakini nilipopiga simu kunconfirm nilitambua ameniambia uongo. Kwa kifupi ni kicheche ila ukimwona huwezi kumdhani. Mpaka sasa nimekata mawasiliano ya visual na audio lakini haelewi.

Kikubwa ninachotaka kusema ni kwamba tuwapende wake zetu kwa nguvu zote. Wao ndo wanawake wa kweli. Wengine ni players. Mke wako ndo anakujua nje ndani. Ukiwa na hela au huna yeye ndo mke wako. Tuwapende kwa kweli. Tuwagegede mpaka basi. Mpaka hamu ya kwenda nje iishe. Na nyie wake za watu tulieni kwenye ndoa zenu. Huwezi kupata nafuu nje. Ukiumizwa na mume wako usilipize nje lipiza kwa kumpenda zaidi.
 
Missyrose tunajifunza kwa makosa. Sio wanaume tu hata wanawake mkiumizwa na waume mnakimbilia faraja nje. Kwa mfano huyu alikuwa anakimbilia faraja au raha za nje?
 
Na Mungu akubariki uendelee kumpenda na kumheshimu.Wewe ni kati ya wanaume wachache wanaogundua makosa makubwa wanayoyafanyakatika ndoa zao na kiamua kuyarekebisha kabla mambo hayajaharibika.Mshukuru Mungu kwa kukuonyesha mbele coz yawezekana mwisho ungejikuta unampoteza mkeo au kupata magonjwa na kubaki unajuta.For all men jaribuni kuiga mfano wa huyu jamaa na women tulien kwa wapenz/waume zenu
 
Habari za Leo wanajf. Mimi ni mume wa mtu. Nina ndoa ya miaka mitano. Kwenye ndoa kuna masaibu mengi. Lakini nimekuja kugundua kuwa love u r wife with all u r heart. Mpende mpaka basi. Yeye peke yake inawezekana ndo mwanamke anayekupenda jinsi ulivyo no matter what. Na inawezekana ndo mwanamke peke yake unayemgegeda bila kutoa hela.

Katika kazi zangu nimekuwa nafanya kazi na mdada mmoja mke wa mtu. Baada ya kuzoeana akaanza kuniambia kuhusu mapungufu ya mume wake na mapungufu ya ndoa yake. Kosa langu ni kutaka kumsaidia kimawazo. It was the biggest mistake. Kilichofuata tulijikuta tuna mapenzi mazito sana sana. Kiasi kwamba ikabidi Mimi nimwambie what we are doing sio. Haya mapenzi tuyahamishie majumbani mwetu. Hakuwa tayari kwa hilo. Akasema ninamgegeda kiasi ambacho mume wake haoni ndani. Kwangu anasema naongea naye vizuri. Nina jali. Nina huruma na upendo wa kweli. Na ninamtreat kama mwanamke mpaka raha.

All in all akaomba nikipata safari ya semina nimpange apate per diem kwani Ana shida na pesa(naweza kumpanga safari nikitaka) basi nikampanga safari moja mkoa Fulani. Wakati huo mi nilikuwa mkoa mwingine kabisa. Baada ya Mimi kumaliza kazi mapema nikasema ngoja nimsuprise nilipokuwa nimempanga kwenye seminar. Nilifika mkoa aliokuwa mida ya saa mbili ucku. Kwa sababu hotel aliyofikia nilishaifahamu nikaamua muda usogee kidogo ili nimsuprise vizuri. Nikawa nimeenda sehemu kupata mbili tatu.

Kama saa tatu ucku huo akatuma SMS kuuliza mbona kimya halafu akatuma SMS tena kusema analala. Dah nikaona sio kawaida. Nikaamua kumalizia kilaji fasta nikaenda alipofikia. Kuuliza reception wakasema alitoka na hajarudi.

To cut the story short alirudi baadaye sana na taxi ambapo kwenye taxi alikuwa yeye na mwanaume. Kumbuka nilipofika hapo hotelini kwake sikumpigia simu kujua yuko wapi. Alivyorudi akaomba msamaha pale lakini sikumwelewa. Ikabidi nikalale sehemu tofauti. Kesho yake nikaondoka nikarudi dar makao makuu. Nilivyofika home nilimwona mama watoto kama malaika. Kwa kweli nilimpenda sana mke wangu. Na mpaka sasa huniambii kitu. Baada ya siku moja yule mke wa mtu alinieleza kilichotokea lakini nilipopiga simu kunconfirm nilitambua ameniambia uongo. Kwa kifupi ni kicheche ila ukimwona huwezi kumdhani. Mpaka sasa nimekata mawasiliano ya visual na audio lakini haelewi.

Kikubwa ninachotaka kusema ni kwamba tuwapende wake zetu kwa nguvu zote. Wao ndo wanawake wa kweli. Wengine ni players. Mke wako ndo anakujua nje ndani. Ukiwa na hela au huna yeye ndo mke wako. Tuwapende kwa kweli. Tuwagegede mpaka basi. Mpaka hamu ya kwenda nje iishe. Na nyie wake za watu tulieni kwenye ndoa zenu. Huwezi kupata nafuu nje. Ukiumizwa na mume wako usilipize nje lipiza kwa kumpenda zaidi.

sasa na huyo naye uliyemgegeda naye apendwe hivyo hivyo na mumewe?
 
Missy rose
I am grown up. Kuna wakati huwa tunadhani pale ni pazuri kuliko hapa. But alas hapo pazuri huwa ni short term. Sijarubuniwa. Nilifata moyo wangu. Kumbe moyo hukosea.
 
Mpende mwanao, mpende Na mke wako pia/

muheshimu
usimkate stimu sababu ya viruka njia./

Wengi walimchumbia ili waoe ila wazazi wakagoma/

Ili binti yao apone,we mwana JF usijemuua kwa ngoma_Fid q
 
Duuh hii Kali, yn mtu mpk ukutwe na tukio ndio uanze kudhamin vya ndani. Ama kwel mbn kaz ipo kwenye hzo ndoa bas
 
Mtamaushi2
Never siwezi kuomba msamaha kwa vitu ambavyo mama watoto hajui. Never. U only seek forgiveness 4 the known. Aliyonifanyia wife ni makubwa yeye angeomba msamaha kama angejua nililofanya
 
Back
Top Bottom