Amefukuzwa kazi, eti anadai nimlipie kodi, ni haki hiyo?

May 18, 2015
83
93
Wadau,

Nina mchepuko ambae miezi michache iliyopita alipata matatizo kazini, kabla ya matatizo hayo hakua anaomba hela kabisa, kitu ambacho kilinivutia sana, Nina majukumu mengi nyumbani kwangu yanayohitaji pesa, Hivyo sitaki mwanamke wa kunipiga mizinga, zaidi ya yote hatukua tunaenda guest, bali kwake nilipenda pia hilo.

Sasa hivi hali ya huyu mwanamke si hali, kila siku ni mizinga, mimi ndio nageuzwa kuwa baba wa hiyo familia yake, Mara nimchangie ada ya mtoto wake, sasa hivi anadai nimsaidie kodi ya nyumba, in other words hii inageuka kuwa familia yangu ya pili, sasa kwa hela gani niliyonayo ya ziada ya kuendesha nyumba mbili?

Kwa hali hii nitakua nimeshindwa mimi

Yeye arudi tu kijijni kwao akapumzike hadi akipata kazi nyingine ndo aje tena mjini
 
Wadau, Nina bibi yangu Wa pembeni ambae miezi michache iliyopita alipata matatizo kazini, kabla ya matatizo hayo Hakua anaomba hela kabisa, kitu ambacho kilinivutia sana, Nina majukumu mengi nyumbani kwangu yanayohitaji pesa, Hivyo sitaki mwanamke Wa kunipiga mizinga, zaidi ya yote hatukua tunaenda guest, Bali kwake nilipenda pia hilo

Sasa hivi hali ya huyu mwanamke si hali, kila siku ni mizinga, mm ndio nageuzwa kuwa baba Wa hiyo familia yake, Mara nimchangie ada ya mtoto wake, sasa hivi anadai nimsaidie kodi ya nyumba, in other words hii inageuka kuwa familia yangu ya pili, sasa kwa hela gani niliyonayo ya Ziada ya kuendesha nyumba mbili?

Kwa hali hii nitakua nimeshindwa mm

Yy arudi tu kijijni kwao akapumzike Hadi akipata kazi nyingine ndo aje tena mjini

Kwani unagegeda mamake babako(bibi)?
Ama unaamanisha mke!
Hata hivyo huyo unayemsema sio mke wako, ni mchepuko.
U are ashaming me, a Kenyan.
 
Acha kuchepuko kijana kazi uroho tuu! Maisha yako ya kuvuta na kamba alafu wajiongezea taabu si utulie kwani mke wako si anakupa? Bado hujapewa na virusi vya ukimwi! Nachukia sana wanaume ambao hawajitambui. Mwisho kuleta ujinga wako humu.
 
Lipia tu, we ulivyokuwa unakwenda kujifurahisha kwenye nyumba ambayo hata gharama zake hujui ulitegemea nn? Uwezo huna alafu unajitutumua kuwa na mpango wa kando!! Shame on you.
 
Lipia tu, we ulivyokuwa unakwenda kujifurahisha kwenye nyumba ambayo hata gharama zake hujui ulitegemea nn? Uwezo huna alafu unajitutumua kuwa na mpango wa kando!! Shame on you.
he is not okey up stairs i think so... kanifanya nimechukia mpaka kiinglish kimekuja i hate this kind of man mjinga kabisa
 
Nyie wanawake mnaojifanya mnakerwa na michepuko, mbona ata mkiona huyu mume wa mtu ila bado mnamtega tu?? Ama ndo women are always right? .. Sio kama nakubaliana au ku support hii tabia ya wanaume kuchepuka,ila kama kweli mnahitaji hili janga liishe lazma pande zote mbili zi cooperate .
 
Back
Top Bottom