No sijawah...!
coz mtu humfaham, wala hakufaham, hujamjua tabia yake.., umeiyona picha yake, how sure your, kama ndo yeyee...?
your just chating, je kama una chat, na jin...?
Au ndiyo digital ime walahisishia wale wasio jua kutongoza..?
Hiyo imenirahisishia sana niweze kugegeda watu kutoka sehemu tofauti tofauti. Kuna raha yake mkuu. Naushukuru sana mtandao wa 2go. Umenipa mke na sasa nalea.
nilishawahi kumpata gf kupitia Facebook alikuwa na hofu ya Mungu na Tania njema sana... tulipendana sana tu... tulikaa miaka 3 na nusu katika mahusiano... lakn Mungu hakutupa kibali cha kuingia katika ndoa....
huu ni ushuhuda kuwa katika mitandao ya
kijamii wapo wengi wanaojielewa na kujiheshimu na ukibahatika kumpata utafurahia pia... ijapokuwa matapeli ni wengi pia
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.