Pale unapojua mkeo hakupendi lakini hataki talaka

Pale unapojua mkeo hakupendi lakini hataki talaka

Joined
Aug 22, 2015
Posts
68
Reaction score
17
Wakuu,
Rafiki yangu kanitembelea jana, nilipokuwa namsindikiza akanidokeza kuwa anajua kuwa mkewe hampendi, maana haishi vituko...kila kukicha ni lawama na kumzushia mambo k.v. huko alikotoka amekunywa, amechepuka n.k.

Jamaa kishafanya majaribio ya kumtimua home kwa kibano na kwa kufata taratibu za talaka lakini mwisho wa siku mwanamke anapigania kurudi ndani kufa na kupona. Baada ya siku mbili tatu hali inarudi vilevile...kiburi na maneno yake vinaamka.

Unamshauri nini?
 
Rafiki yako kakutembelea??? afu akakudokeza?? afu unatuuliza kuwa tunamshauri nini???
 
Hujaeleza background ya tatizo. Kwahiyo itakuwa vigumu kupata ushauri wa maana humu.
 
Siku zote mabadiliko ndani ya familia uletwa na baba. Avune alichopanda, akawaulize wenzake wenye kutafuta mapenzi ya kweli kwa kuchezea hisia za wanawake, starehe yake ikoje?
 
Mwambie "rafiki" yako ajikague atakuwa na tatizo mahala....

Mwisho mwanamke hapigwi...... kama ana nguvu alime hata mchicha familia yake ipate lishe bora.....

Kuwa kichwa cha familia sio kutumia miguvu...... alipaswa kuketi chini na mkewe kuzungumza.....kama matendo yake yanamfanya mkewe amuhisi vibaya ajirekebishe nae amwambie mkewe nini akitakacho toka kwake
 
Huyo rafiki yako hajui kuwa tule mwanamke anampenda ila anawivutu.
 
Jamani eee 1st nataka mjue wanawake hatupendagi bali tunapendwa ndio tunapokea si kama wanaume wanaoanzia 100% kupanda juu sisi tunaanzia 0% kwenda juu tena kwa mazuri utakayotutendea.

Mwanamke yule kuwa na mdomo inategemea nguvu anapatia wapi na je huyo mume ni mume mwenye uwezo kunako au mume suruwale? mume anajua wajibu wake au mume maneno?

mume mwenye kujali au mume maigizo? kama anaona yuko sawa na mke ndio mbaya anaweza kwenda mahakamani kuomba mahakama ivunje hiyo ndoa na inawezekana.
 
Mwambie "rafiki" yako ajikague atakuwa na tatizo mahala....

Mwisho mwanamke hapigwi...... kama ana nguvu alime hata mchicha familia yake ipate lishe bora.....

Kuwa kichwa cha familia sio kutumia miguvu...... alipaswa kuketi chini na mkewe kuzungumza.....kama matendo yake yanamfanya mkewe amuhisi vibaya ajirekebishe nae amwambie mkewe nini akitakacho toka kwake
Yani hata kakofi tu kadogo kadogo hairuhusiwi?
 
Amsubiri akitoka, atoe zubeda nje abadili funguo....maana hamna namna
 
Huyo mwanaume ahame nyumba, apotee kusiko julikana!
 
Unatuharibia michepuko yetu. Wataanza madai ya ajabu wakati sasa hivi tunawapiga kwa mtoko wa sinema

mkuu hebu tupe maujanja ya kwenda sinema na mchepuko maana I can imagine naingia mlimani city na chepuko nakutana na wife au ndugu zake au marafiki wanaotujua. unaweza ingia kwenye sakafu. au mnaingia movie separately?
 
Baki njia kuu. Kuchepuka kipaji, muulize Asprin hata yeye anajua hilo
 
Last edited by a moderator:
mke hapigwi ngumi anapigwa kwa kipande cha kanga au godoro(sponji)
 
Wapo wa hivyo wengi tu hata wanaume unaona kabisa yan hata hakuoneshi mapenzi nq care za hapa na pale hata ukijitahidi ila ukisema muachane hakubali hata au hata amuone mtu mwingine anakuvizia hata ngumi atapigana. Huwa najiuliza sijui wanawaza nini?!
 
Back
Top Bottom