Tunakaa kota jirani yangu mmoja alinifata kunilalamikia juu ya jirani yetu mwingine,wakiwa wanaduu na mumewe wanaskia sauti za mahaba,ananiomba ushauri kama amwambie au la!mimi nimeona kumwambia sio sawa niuswahili kwani hayo ni mambo ya nyumbani kwao ,nisaidieni jinsi ya kushauri hili minaona nitendo la aibu kuongelea na mhusika