Seneta Wa Mtwiz
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 3,643
- 4,185
Hii ni kwa wale tu wenye malengo ya kuwa mamilionea siriaz!
�������������������
Hapa nisikilizeni kwa makini sana jamani;
Kutokana na njaa niliokuwa nayo jana usiku,leo asubuhi nimeamka mapema sana nikapika ule uji wangu wa kuwekwa ukwaju,kisha nikaanza kuwaza jambo 1 la msingi sana kiuchumi.
Nikabaini kuwa,kuoa mke wa kimasai ndio njia bora sana ya kuleta utajiri kwa wanandoa na familia kwa ujumla.Kwa sababu wanawake wa kimasai hawana makuu wala complications nyingi kama wengine.
Maana'ke mkeo akiwa mmasai ukimnunulia;
-Debe 1 la shanga(kwa ajili ya urembo/mapambo),
-Zile shuka za kimasai mbili,
-Sendolzi za matairi za buku,
-Mswaki wanapiga tu wa mti (na hawahitaji dawa ya meno),
-Na wembe wa sh. 100/= wa kumnyolea kipara-
Hapo baaasi!Mwaka mzima hakuna gharama tena.
Hakuna mambo ya kununua magauni, sketi, wax, pedo, wala chupi! Na upuuzi wa kwenda kusuka/kuseti nywele salon nd'o hakuna kabisa,
ni mwendo wa kumnyoa kipara tu, tena kwa kutumia kisu!
*nimefikiria saana ya'ni.*
>>kwani sh. Ngapi?<<
Seneta_wa_mtwiz -
no longer in mtwiz//
.
�������