Nahitaji marafiki wa kike miaka 30 hadi 40

Nahitaji marafiki wa kike miaka 30 hadi 40

Mparee2

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2012
Posts
3,290
Reaction score
5,769
Wandugu,

Naishi Boma N'gombe - Moshi na nahitaji marafiki wa kike tajwa hapo juu kutoka sehemu yoyote TANZANIA

Sifa;

  1. Awe anapenda kuchat (ila sio addicted)
  2. Hata akiwa na mtoto sio shida
  3. Awe anajiheshimu
  4. Akiwa Mjasiriamali au muajiriwa ni vizuri zaidi ili tubadilishane mbinu za biashara

Mimi ni kijana wa kiume umri wa miaka 41 na najitegemea

Unaweza kuni pm na namba ya simu nitatoa kwa muhusika
 
Back
Top Bottom