Sijui nifanyenini, nilimuacha sababu sio mwaminifu, nimepata mwingine, eti anarudi anadai ananipenda

Erickson0708

JF-Expert Member
Sep 10, 2015
207
34
Ni binti ambae alikuwa first lover wangu since 2010 lkn imefika january mwaka huu tukaachana coz alikosa uaminifu kwang baada ya kwenda chuo. Namimi nikapata msichana mwingine ambae anaonyesha ananipenda kwa dhati.

Sasa shida ipo kwa huyu kamaliza chuo ananisumbua anadai ananipenda mimi tu. Namimi najikuta nipo kwenye wakati mgumu coz she waz ma first lover nahuyu nilie nae akijua sijui itakuaje isitoshe ndo yupo kidato cha sita.
 
Ni bint ambae alikuwa first lover wangu since 2010 lkn imefika january mwak huu tukaachana coz alikosa uaminifu kwang baada ya kwenda chuo. Na mm nikapata msichna mwingne ambae anaonyesha ananipenda kwa dhati.sasa shida ipo kwa huyu kamaliza chuo ananisumbua anadai ananipenda mm tyuu. Namm najikuta nipo kweny wakati mgumu coz she waz ma first lover.... nahuyu nilie nae akijua sijui itakuaje isitoshe ndo yupo kidato cha sita......



Huyu frst Lover wako kakurudia tuuu kwa sababu kamaliza chuo na hana cha ku m keep bizy kwa ss@kuna cku moja kuna Uzi ulitupiwa humu unasema....C KILA X WAKO ANAETAKA MRUDIANE ANAKUWA KAMANISHA KWEL@@wengine wanakuja az means ya kuku test Tuu...
 
ukirudiana nae umeharalisha kuchapiwa, na unaumiza moyo wa huyu ulienae. Amua
 
cha msingi move on na huyu mwanamke wako mpya ,wa zaman achana naye ,hakuona thamani yako wakat yupo chuo aione sasa hv??? hujaijua vzr akili ya mwanamke ,akili ku mkichwa BY THE WAY mwsho wa siku wewe ndiye muamuzi wa mwsho.
 
mkuu we angalia ambae ulimkuta na bikira na ambae ana tabia njema, anajua thamani ya mwanaume na awe anajitambua kuanzia ndani ya moyo wake hadi nje........hata ukimpeleka kwa wazazi wanasema mtoto wetu umechagua mwanamke mwenye tabia nzuri nidhamu na hekima wanakupa baraka zote.
 
Back
Top Bottom