Nashukuru sana ila hutapata wachangiaji c unajua hawapendi kusikia neno Mungu .Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu
Jumapili njema
Twenden kanisani tukamwombe mungu tupate wachumba wetu ambao nao n wacha mungu
Jumapili njema
Mungu gani huyo unayemuongelea?
Mungu gani huyo unayemuongelea?
haha mkuu kiranga unataka uanze kuleta quantum physics zako humu.
Watu wote wanaoongea kuhusu uwepo wa mungu huyu omnipotent, omniscient and omni benevolent inabidi wanijibu swali langu.
Imekuwaje mungu mwenye uwezo wote, ujuzi wote na upendo wote kaumba ulimwengu ambao mabaya yanawezekana?
Kwa nini kaumba ulimwengu ambao wanawake wanatafuta wanaume wa kuwafaa na wanaume wanatafuta wanawake wa kuwafaa wakati alikuwa na uwezo wa kuumba ulimwengu ambao hakuna kutafutana, kila kitu kimejiset chenyewe?
Sijapata jibu la swali hili.
mimi nishavaa nasubiri saa zifike
majibu ulipewa kule jukwaani(intelligence) tatizo we mbishi.... ukipewa majibu kwa mujibu wa biblia hutaamini maana biblia ni Neno la Mungu nawe humuamini.
Mwamini kwanza kisha utamuuliza mwenyewe..
Unasubiria saa zipi na ibada imeshaanza?