Ina maana hujaelewa kuwa anataka kuolewa????
Siwezi pata usingizi mpaka nihakikishe tatty kalala salama. Ni wajibu wangu, you know?
Sasa nifanyeje ili nikuambukize huu wangu. Mi usingizi umejaa tele tatizo siwezi kulala kabla yako.... Ntakuwa mwanaume wa aina gani sasa?U are so kind. Thank you.. Sina usingizi leo
Sasa nifanyeje ili nikuambukize huu wangu. Mi usingizi umejaa tele tatizo siwezi kulala kabla yako.... Ntakuwa mwanaume wa aina gani sasa?
Ewaaaaa..... thats my girl. Sleep tight darling.
Mimi niko pembeni yako natazama unavyolala kwa amani....
Mwwwahh kwa lips za tatty