Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

Mmh sijui nimwambie! Naogopa atalipokeaje

Queen Horse

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2013
Posts
414
Reaction score
317
Wana MMU habarini za leo,

Kuna jambo linanitatiza na kuniumi za nataka kusema lakinia naogopa mlengwa atalipokeaje jambo hilo mmh naogopa kuitwa mbeya mie maana wanawake hatunaga vifua vya kuvumilia maumivu.Nina rafiki yangu ambaye ana date na kaka flani hivi for more than a year now mkaka anaonyesha ana mcare na kujifanya yuko muwazi kwake kwa kila kitu.

Wakati wanaanza mahusiano mkaka alimwambia ukweli kuwa alikuwa anaishi na mwanamke na wamezaa ila hawakuoana na wametengana kwa muda huo kila mtu anaangalia maisha yake so my friend akaona sio mbaya coz hata yeye alikuwa single na mkaka ni kweli alimvutia wakaamua kuanza mahusiano.Shida imekuja juzi katika pekuapekua yangu ya kimitandao nimegundua yule kaka ameoa ndoa ya kanisani na still wanaishi na mkewe though mke yuko mkoa mwingine kikazi.

Evidence ninazo kuanzia picha za ndoa mpaka picha ambazo alikuwa anapiga na mkewe kipindi hiki ambacho alikuwa anaenda kumtembelea na kumuongopea shosty yuko safarini wana MMU hebu nisaidieni nifanyeje roho inaniuma coz naona kabisa shoga angu anapoteza muda ila je nikimwambia atalipokeajee? Hatoniona mimi mnafiki nataka kuwagombanisha na kuharibu furaha yao?

Maana shosti anamwamini vibaya sana huyu mkaka and kila mara anamsifia a guy is so muwazi and mkweli.
 
Queen Horse

nyie wanawake sa nyingne ni malafa tuu kazi kufatilia maisha ya wengine. ww unauhakika kwamba anajua kampuni yako ya wanaume na jamaa katulia zake hana mishe na mambo ya watu? kafie mbali kinyago ww nyie ndo mnaoharibu plan za watu na ndoa. ww kama hugongwi za zaid ya wanaume kumi bac hongera
 
Last edited by a moderator:
Inategemea na akili za shoga yako... wewe ndiye unayezijua...

Ila hebu okoa hiyo ndoa aisee

Mijanaume mingine hovyo kabis[/QUO
unataka uniambie na ww hujawah kuchepuka? kwel nyniy wanawake mna wivu sana i hate you forever
 
Wewe na mambo yako huwa unapekua hivyo au kwasababu ni una umbea uliokithiri? Na ya huyo rafiki yako yote na umwambie huyo baba!
 
Kwa nini nichepuke?
Na kuchepuka ni sifa siku hizi?
Naona watu wanajaribu kufanya kuchepuka kuonekane ni swala la kawaida la msingi. .....

Ndoa iheshimiwe na kila mtu.... wakianza na hao wanandoa wenyewe


unataka uniambie na ww hujawah kuchepuka? kwel nyniy wanawake mna wivu sana i hate you forever

We endelea kuni-hate tu.....
 
nyie wanawake sa nyingne ni malafa tuu kazi kufatilia maisha ya wengine. ww unauhakika kwamba anajua kampuni yako ya wanaume na jamaa katulia zake hana mishe na mambo ya watu? kafie mbali kinyago ww nyie ndo mnaoharibu plan za watu na ndoa. ww kama hugongwi za zaid ya wanaume kumi bac hongera

Ndoa ipi? Ya shoga angu na huyo mkaka au ya huyo mkaka na mkewe?
 
Na wewe una hamu ya kuliwa tu.
 
Ningekuwa mimi ningemwambia tu kwa kweli, provided kuwa ushahidi upo. Hata kama atakununia, itakuwa kwa muda tu, baadaye atakushukuru. But utakuwa umesaidia future yake na utakuwa umesave ndoa ya watu. Au kama huna courage ya kumwambia directly, jipigishe story weee utafute na ka njia ka kumpeleka apite kwenye hizo picha.

Sema inategemea sana uelewa wa huyo rafiki, ila wewe mwambie tu, utakuwa umeplay part yako kama rafiki. Wakiendelea kuchepuka ni uamuzi wake. Wewe nafsi yako haitokusuta hata
 
Assume the guy ndio angekuwa mumeo,yaan hapo wa kumuonea huruma ni yule mwenye ndoa na watoto,tel her na ajue nini kinaendelea

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Hakuna Umuhimu wa Kumwambia iwapo Bado Anayafurahia mahusiano yao. Na kama Rafiki Yako Amekwisha ambiwa kuwa jamaa Alizaa na mwanamke mwingine na yeye akakubali, basi ni kitu ambacho hata yeye mwenyewe anakijua kuwa kuna mwenzake ambaye tayari Anawatoto. Kukubali tu kuwa mpenzi wa jamaa ni kukubali kushare mapenzi... Wewe Yapeleke lakini hujui Shoga Ako Atareact Vipi Utakapomwambia.

NB: USISAHAU KUTUPA MREJESHO WA KITAKACHOTOKEA..

maana upekuzi wako wa kimtandao kwa huyo jamaa Sikujua ulikuwa katika Lengo gani na nia ipi.
 
Ningekuwa mimi ningemwambia tu kwa kweli, provided kuwa ushahidi upo. Hata kama atakununia, itakuwa kwa muda tu, baadaye atakushukuru. But utakuwa umesaidia future yake na utakuwa umesave ndoa ya watu. Au kama huna courage ya kumwambia directly, jipigishe story weee utafute na ka njia ka kumpeleka apite kwenye hizo njia.

Sema inategemea sana uelewa wa huyo rafiki, ila wewe mwambie tu, utakuwa umeplay part yako kama rafiki. Wakiendelea kuchepuka ni uamuzi wake. Wewe nafsi yako haitokusuta hata

Nimekupenda bure, vp ushaolewa?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom