Hello Ladies, hi. Natafuta mwanamke mrembo anayejitambua na ambaye yupo tayari Kuishi maisha ya ndoa not wasting my time. Awe mrembo - presentable FIGURE, umri usizidi miaka 27, awe anajitambua ...
Rafiki woote wa kike... Tuchatt tufahamiane na Tubadilishane mawazo, Naihisi huu urafikii unawezaa ukaniwezesha kupata Mpenzi wa kike, so ni PM usizidi miaka 22
Nataka nitoe mwongozo hapa watu wengi wanapata shida na haya mahsiano ya boyfrend na girlfrend.
Wewe ni binti na boyfried wako anasema anataka aende shule miaka 3 alafu akimaliza ndipo hatua za...
Hakuna Mwanaume Mkarimu tu burebure..Mwanaume mpole kama njiwa..Mwanaume very caring tu from nowhere..Mwanaume anayekusikiliza...Mwanaume anayekutafuta asubuhi hadi jioni kujua hali yako..Mwanaume...
Wiki iliyopita ilikuwa mbaya sana kwangu, nina mchepuko mpya niliempata kwenye harusi ya mfanyakazi mwenzangu. Ni mazuri sana kwa sura na shepu.Tulikubaliana Jumamosi ndio tukapige mechi ya...
Unayempenda kwa dhati Sinza huna uhakika kama kwake uko peke yako au ana ki-branch cha LOVE SACCOSS Temeke na huwa anakopesha penzi kwa riba nafuu ya asilimia 10 halafu anajazilizia kipato kwenye...
Habari wakuu:
Katika kipindi cha mahusiano nilichopitia sijawah kuwa na msichana mwenye wivu kama huyo wa sasa.Tumekuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo lakini ana wivu wa kupitiliza.
Anatumiaga...
Nilikuwa maeneo ya Mjini kati (City Center), nikaipenda suruali moja ya shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo ikabidi niende kutoa kwenye ATM ya Postal.-
Nimefika pale sikukuta mtu hivyo niliingia...
Wanaume hebu tiririkeni maswali ambayo hampendi kuulizwa na wake au wapenzi wenu ili wayajue. Mie swali linalonichosha ni kama nikiulizwa "una ratiba gani leo"?
Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa..kwa kifupi nilimtamani tu….yaani nilitegemea akinivulia nguo zake tukashiriki tendo hamu yangu itaisha na...
Naandika haya kwasababu wanaume tumekuwa mstari wa mbele kuwalaumu na kusema wanawake wanajiachia wakisha olewa sijui wanapoteza mvuto mpaka tunachepuka. Hili sisi pia ni moja ya vyanzo vya hili...
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini baada ya kumuuliza aendako,tulibadilishana anuani na tukawa...
pamoja na mimi kuwa mvulana bado sielewi nini cha maana katika bikra ya mwanamke ama msichana.
sababu za wasichana kutoa bikra ni nyingi sana, michezo na kazi ngumu,mapenzi ya hiari,kubakwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.