Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

Bahati ya ukweli kwa mwanamke wa vigezo hivi

lamarrich

Member
Joined
Aug 30, 2015
Posts
29
Reaction score
2
Nahitaji mwanamke wa kufunga nae ndoa awe maji ya kunde au mweupe... Awe msomi wa degree au diploma katika fani hizi ... Engineer,Doctor, Accountant, finance, business Administration, sociology.... Awe sio mnene wala sio mwembamba.. Mrefu kiac cha kawaida.. Asizidi miaka 24 awe dini yoyote na kabila lolote,
Mim nina degree 1 fan ya Engineering, mrefu maji ya kunde...
 
Teh, unataka degree MD/Engineer wa miaka 24 (Tanzania)?!
Education system ya Tz haitoi wasichana wenye sifa hizo ktk umri huo!
Labda kama ni udakitari/engineer wa cheti kama upo!

Kila la heri ila ni vyema nawe ukaweka umri wako pia!
 
Wapo mbona akipatikana wa diploma poa pia.. Atajiendelezaa.. Umrii wangu 25
 
Darasa la 7 kama joyce kiria hatuolewi et?
 
  • Thanks
Reactions: waj

Similar Discussions

Back
Top Bottom