Ushauri: Mwanamke kanichanganya, nilimwambia asitoe mimba akatoa

Ushauri: Mwanamke kanichanganya, nilimwambia asitoe mimba akatoa

KUNGURUHAFUGIKI

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2013
Posts
346
Reaction score
74
Habarini wanajamvi,

Mimi ni kijana naishi Tanga kikazi nimekuwa na mahusiano na binti mmoja yuko Iringa, ambaye nilimpa ujauzito nikiwa huko Iringa lakini pamoja na hayo alitaka kuitoa hiyo mimba nikamwambia hasitoe nitalea, nikiwa huku Tanga nimekuwa nikimtumia hela kipindi chote aliponiambia mjamzito mpaka sasa ni mwezi wa Tisa na nusu toka aniambie mjamzito.

Leo nimezungumza nae kwenye simu ananiambia mimba aliitoa muda mrefu sana ikiwa na miezi miwili na Dada yake ndiye aliempeleka aka toe na ananiomba msamaha nimsamehe turudiane tena na yuko tayari kubeba nyingine, nimechanganyikiwa nifanyaje ukizingatia nimetumia gharama nyingi sana kuhudumia na nilikuwa nampenda sana.

Wakuu naombeni ushauri
 
Huna cha kufanya, achana nae tu! manake hilo suala halitafutika kichwan kwako ukirudiana nae!

Kikubwa zaidi ameonyesha hawezi kuaminiwa so hafai kwa future yako
 
Hapo ushauri wa nini sasa...? kata matumizi futa namba, Tanga wapo huko....
 
Unataka ticket gani ya kuondokea zaidi ya hiyo.
 
Nyie ndio mnaolalamikaga mmelogwa na mademu zenu kumbe upuuzi wenu tu!
Sasa kosa kama ilo unashindwaje kumuacha?
 
Huyo mwizi na amekuibia vya kutosha. Ondoka upesi.
 
Sidhani kama tunaitajika kuomba ushauri kwa kila jambo.... hapa jibu ni moja acha sepa...
 
Km unataka mtoto oa co kuzalisha tuuuuu. hata aibu uoni dem wako nae boya yan abebe ujauzito tena kisaaaa??? wote wajinga
 
Mkuu thread hii inanikumbush my Ex nilimpiga chini hvyo hvyo.
had Leo anadai nimemuacha bila sababu means kutoa mimba aliona kawaida ila
me iliniuma!
now anasumbua sana kwa phone
anataka nimsamehe
by the way huyo co future wife
piga chini
 
Huyo ni mwizi, alikuwa anataka matumizi na kuna uwezekano hata hiyo mimba ilikuwa changa la macho ili uingie gharama. Piga chini na umsahau, huna haja ya kuchanganyikiwa.
 
Huyo ni mwizi, alikuwa anataka matumizi na kuna uwezekano hata hiyo mimba ilikuwa changa la macho ili uingie gharama. Piga chini na umsahau, huna haja ya kuchanganyikiwa.

Kwa kweli nikiona calls napandwa na hasira sana na kinikutana nae naisi nikamdhuri nikapata kesi nimeamua nimuache tu , niendelee na maisha yangu
 
Mkuu thread hii inanikumbush my Ex nilimpiga chini hvyo hvyo.
had Leo anadai nimemuacha bila sababu means kutoa mimba aliona kawaida ila
me iliniuma!
now anasumbua sana kwa phone
anataka nimsamehe
by the way huyo co future wife
piga chini

mkuu sio siri kanichefua ubongo natamani nifanyie hats chochote kibaya
 
kwa kweli nikiona calls napandwa na hasira sana na kinikutana nae naisi nikamdhuri nikapata kesi nimeamua nimuache tu , niendelee na maisha yangu

Huna haja ya kulea tapeli kama huyo. Usingefuatilia angekwambia aliitoa mimba?
 
Huyo ni mwizi, alikuwa anataka matumizi na kuna uwezekano hata hiyo mimba ilikuwa changa la macho ili uingie gharama. Piga chini na umsahau, huna haja ya kuchanganyikiwa.

nikifikiria gharama nilizotumia mpaka nachanganyikiwa sitomwamini mwanamke yoyote yule nimejuta sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom