dickdickinyo
Senior Member
- May 19, 2015
- 118
- 53
Niliapa nitamsomesha kwa gharama yoyote.
Sasa Jana nikiwa kazini jioni akaniambia nitumie hiyo ada kwenye Tigo pesa.
Kidume nikatuma wakati nikitoka job kila nikimpigia hapatikani nikaamua kwenda mitaa ya kwao.
Napita pita namkuta bar yuko na vinjemba tena yeye ndiyo anayenunua bia.
Inaniuma sana.