Habari wakuu:
Katika kipindi cha mahusiano nilichopitia sijawah kuwa na msichana mwenye wivu kama huyo wa sasa.Tumekuwa pamoja kwa mda mrefu kidogo lakini ana wivu wa kupitiliza.
Anatumiaga...
Nilikuwa maeneo ya Mjini kati (City Center), nikaipenda suruali moja ya shilingi 15,000/= na pesa sikuwa nayo ikabidi niende kutoa kwenye ATM ya Postal.-
Nimefika pale sikukuta mtu hivyo niliingia...
Wanaume hebu tiririkeni maswali ambayo hampendi kuulizwa na wake au wapenzi wenu ili wayajue. Mie swali linalonichosha ni kama nikiulizwa "una ratiba gani leo"?
Mwanzoni sikumpenda kutoka moyoni, nilimpenda kwa kuwa tu alikuwa mrembo haswa..kwa kifupi nilimtamani tu….yaani nilitegemea akinivulia nguo zake tukashiriki tendo hamu yangu itaisha na...
Naandika haya kwasababu wanaume tumekuwa mstari wa mbele kuwalaumu na kusema wanawake wanajiachia wakisha olewa sijui wanapoteza mvuto mpaka tunachepuka. Hili sisi pia ni moja ya vyanzo vya hili...
Nilikuwa nakatiza maeneo ya Chang'ombe nikamwona mrembo anatembea juani alionekana amechoka, nikampa lifti kumsogeza mjini baada ya kumuuliza aendako,tulibadilishana anuani na tukawa...
pamoja na mimi kuwa mvulana bado sielewi nini cha maana katika bikra ya mwanamke ama msichana.
sababu za wasichana kutoa bikra ni nyingi sana, michezo na kazi ngumu,mapenzi ya hiari,kubakwa na...
Wadau niaje.
Leo tujadili kuhusu mawazo ya dada zetu wanaofaa kuwekwa ndan na vijana wenzao hapa tanzania as k lyn, nancy sumari, faraja kota na wengineo wengi wasio na majina makubwa as lara 1...
Wadau,
Nimekua nikifuatilia matokeo ya Uchaguzi wa Kenya kupitia TV Channel ya CITIZEN.
Kuna huyu binti anaitwa Lulu ananikosesha usingizi jamani. Yaani nkimuangalia tu basi mapigo ya moyo...
Habari zenu,
Poleni na majukumu pamoja na pilika za siasa. Mimi ni mama mwenye mume na familia kiumri ni miaka 38. Ni mfatiliaji mzuri wa habari za huku leo nami nineona niwape ya kwangu. Kifupi...
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi.
Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na...
Mimi ni mwanaume mwenye umri wa miaka 24, urefu 165cm, maji ya kunde, mwili wa wastan, mkristo, elimu yangu kdato cha 6 nimejiajir, naish Dar es salaam Natafuta marafik umri kuanzia miaka 20-30...
Ndugu zangu katika ulimwengu wa Mahaba,
Hivi karibuni nilipata fursa kwenda nchini Afrika Kusini katika kulisaka tonge na kufaudu maisha. Basi kama mnavyojua kwa wale wenzangu tunaosafari sana...