Mshinga
JF-Expert Member
- Feb 5, 2013
- 3,532
- 1,126
pamoja na mimi kuwa mvulana bado sielewi nini cha maana katika bikra ya mwanamke ama msichana.
sababu za wasichana kutoa bikra ni nyingi sana, michezo na kazi ngumu,mapenzi ya hiari,kubakwa na sina uhakika kama na ukeketaji unaweza kuwa sababu.
wanaume wengi kwa kiasi kikubwa hupenda kuwauliza wasichana kama ni mabikra ama laa wanapokubaliwa tu ama wanapotongoza,na wakiambiwa ni mabikra ndo basi wanafarijika na kupumbazika kabisaaa, kwa kuwa binti hajaguswa ama hajabikiriwa kwa imani ya wengi ilivyo, HAPO HAPO HAWAELEWI MSICHANA ANAWEZA KUFANYA NGONO hata mara sita na zaidi NA BIKRA YAKE INABAKI SALAMA KUTEGEMEANA NA MWANAUME ALIYEKUTANA NAE.
cha kushangaza ni kwamba wanaume wengi wanaonekana kuthamini zaidi bikra na ni kipaumbele cha kwanza kuliko hata tabia na maadili ya msichana aliyolelewa nayo.
nasema huu ni ujinga kama ujinga mwingine.
katika hali ya kawaida.
msichana anatakiwa kupenda kuanzia enzi za usichana wake lakini hawezi kujua ni nani atamuoa ama atafika nae mbali, na hapo lazima atolewe bikra yake na mtu aliyempenda kwa dhati na hapaswi kulaumiwa kwa kuwa kama alivyokupenda wewe pia alimpenda mwingine ila walihitilafiana, na kama wewe hukumuona kipindi kile ulitaka aote kuwa mwanaume atakaemuoa ama kumpenda kwa dhati ni wewe ili aendelee kukutunzia bikra?wanaume tunapaswa kuangalia zaidi tabia na maadili,maana kuna wengine kazi yao ni kuishia kutoa mtu bikra tu na kumuacha. hata wenye tabia nzuri naa maadili wanaweza kubikiriwa na mtu asiye na malengo nao ama akabikiriwa na mvulana mmoja mwenye wasichana watatu wote wana tabia nzuri na hapo atajikuta anaacha wawili kama akitaka kuoa.wanaume kwa kuthamini zaidi bikra kuliko maadili na tabia na wanawake wakagungua ndio maana wakaamua kutengeneza bikra bandia zinazosaidia sana kupumbaza wanaume wasiulize tena wala kufatilia maadili ama tabia za msichana na wengi huja kusitaajabu baadae baada ya kugundua mtu waliyembikiri kumbe ana mtoto tayari ama alishatoa mimba na wakati mwingine hata hiyo ya kutengeneza huwa haipo na mwanaume anaishia kulalama na kwa kuwa ameshaweka mke ndani watu wazima,mashehe,wachungaji na mapadri wakiingila ndoa inaendelea lakini mtu kauziwa mbuzi kwenye gunia, pia kumbukeni wengine wana bikra za kweli lakini hawana tabia njema na hawafai hata kidogo kuwa wake za watu kwa sababu hata kuwa na bikra mpaka kuolewa ama kwa muda mrefu huwa si matakwa ya waaasichana wengi, bali wasichana huwa wana malengo ya kutoa bikra yao kama zawadi kwa mvulana wanaempenda zaidi na kwa dhati kama watakuwa katika umri wa kujitambua,kwa mkutadha huo wengi hutoa bikra zao kwa wanaowapenda lakini hilo halimzuii msichana kumpenda mwingine kama watahitilafiana na huyu aliyembikiri, wasichana wengi wanaweza kukaa na bikra kutokana na mazingira ya kubanwa zaidi nyumbani na ndio maana ni rahisi zaidi kumpata msichana bikra ambaye bado anaishi na wazazi kwa kubanwa kuliko bikra ambaye anaishi katika mazingira huru hata kama ni nyumbani,na huko shuleni kwa kiasi fulani wapo wachache kufikia form six na hao wote watapoteza bikra zao mwaka wa kwanza wa masomo iwe chuo kikuu ama chuo cha kawaida kwa kuwa mazingira ni huru. kwa hiyo bikra haifai kutumiwa kama kielelezo cha maadili na tabia ila kinaweza kuwa ni kielelezo cha msichana kubanwa zaidi nyumbani.
HUU UJUMBE WANGU WA 2013 MAHUSUSI KWA WANAUME WAPENDA BIKRA KULIKO KITU KINGINE.