Ananiamsha saa 10 alfajiri niwahi daladala nisichelewe kazini,kumbe huku nyuma!Daa

Mr mgeni

JF-Expert Member
Apr 27, 2014
1,222
803
Niliona anafanya vizuri siku za kazi kuniamsha mapema, kumbe sivyo! Kuna kijana nasikia anakujaga alfajiri ninapotoka kumuuliza mke wangu nashindwa na huyo kijana ninamtamani vibaya sijui nitamnasaje.

Naombeni mawazo na ushauri jamani.
 
Sasa akikuamsha uwende kazini si unaenda kisha unajibanza mahali kijana akiingia unarudi,shida iko wapi???yaan huna mbinu hata moja unayoiwaza?????
hiyo nimejaribu nimeshindwa kumnasa,kutokana na haraka zangu za kuwai kazini
 
Niliona anafanya vizur siku za kazi kuniamsha mapema,kumbe sivyo!!kuna kijana nasikia anakujaga alfajir ninapotoka.kumuuliza wife nashindwa na huyo kijana ninamtaman vibaya sijui nitamnasaje.Naombeni mawazo na ushaur jamani.
Khaa!! Chief wako vijana 10 sema wife wako anajua kuwapanga. Sasa ukimpata mmoja mkate kichwa ukaolewe wewe segerea
 
Omba udhuru wa kusafiri kazini kwa wiki moja then unaaga kama kawaida kila siku asubuhi kuondoka na usimgegede mkeo ili awe na nyege za kumuita huyo kijana mariooo lazima within that week utamnasa. Ikiwezekana gombana kidogo na mkeo within that week ili apate hasira amwite amkamue amalizie huko hasira zake
 
Hutaki kusaidiwa mahaba ww eti kazini ndo unashindwa kumnasa sasa ww fanya hivi weka cctv camera ielekeze 6 by 6 alafu nenda kazini mwanawane km siku tatu hivi ipotezee than week end sasa tizama record zako.

Siku ya kutuzama record zako usiwe pekeyako maana ww ccm nshakuona.
 
Back
Top Bottom