Dada zetu mnatuabisha jamani na tabia zenu mbaya

Dada zetu mnatuabisha jamani na tabia zenu mbaya

dickdickinyo

Senior Member
Joined
May 19, 2015
Posts
118
Reaction score
53
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi.

Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na mawazo yasiyo na mwelekeo utayasikia.

Ameolewa lakini kutwa kiguu na njia mitaani.

Badilikeni jamani
 
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi.Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na mawazo yasiyo na mwelekeo utayasikia.ameolewa lakini kutwa kiguu na njia mitaani.
Badilikeni jamani

Wewe na mkeo hamjabalehe kiakili bado.
 
Mfano huo hapo 1444467657289.jpg
 
Unakuta binti mrembo wa kuweka ndani lakini kinguo alichovaa hakijulikani mbele wapi,nyuma wapi.

Ukimwona kabla hajaongea unasema mke si ndiyo huyu,subiri afungue domo lake maneno ya ajabu na mawazo yasiyo na mwelekeo utayasikia.

Ameolewa lakini kutwa kiguu na njia mitaani.

Badilikeni jamani

Binti wa hivyo hawezi kuwa wa kaskazini...labda mswahili wa kule nanii!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom