masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 17,570
- 20,146
tusigombane kisa meseji hyo bebi sijui
amekosea namba haipaswi kulalamikaa
hayo si maneno mume wangu kuyanena mbele yangu unazipelekea hisia kuhisi naibiwa zao langu
why mkifumwa na meseji mnatoaga sababu za kitoto sana?