Mwanamke/mwanaume kufika Kileleni, vizuizi ni hivi...

fiksiman

JF-Expert Member
May 17, 2008
402
104
Ndugu zangu katika ulimwengu wa Mahaba,

Hivi karibuni nilipata fursa kwenda nchini Afrika Kusini katika kulisaka tonge na kufaudu maisha. Basi kama mnavyojua kwa wale wenzangu tunaosafari sana sehemu tofauti, mara nyingi kiu cha wenye kinakuwa kikubwa sana na pia kuna radha fulani huipata.

Sasa pita pita yangu nikaopoa mtoto mmoja wa kizulu, bwana nilipelekwa mchaka mchaka hadi ikabidi niongeze siku mbili ili niweze kukata kiu kwa utulivu.

Kitu kimoja kipya nilichojifunza pale kwa babu ni ule utaalam wa kulazimisha mechi iishe hata kama hukutaka. Yule mtoto bwana alikuwa akijua tu amechoka basi anapiga YOWE moja matata kama vile ameng'atwa na kitu, wajomba msipime, nilikuwa napata msisimko wa ajabu na dakika hiyo hiyo habari inaishia hapo.

Huu ni ushauri wa bure hasa kwa wadada wanaoteseka na Mijanamme yenye uwezo wa kukaa masaa moja hadi matatu kiunoni pasipo kueleweka. Ni dawa ndogo tu, ukitosheka, angusha kilio kikubwa wanaitwa ukelele utanusurika na mateso...ikishindwa hii usisite kuja upate dawa nyingine.

kileleni2.jpg


Wanawake wengi huolewa wakiwa na uhakika kwamba mwanaume anayeoana naye anajua misingi ya masuala ya tendo la ndoa, ukweli ni kwamba wanaume wengi bado huwa hawajui chochote kuhusiana na masuala haya. Kutokuwa na ufahamu wa kutosha huwa kikwazo kikubwa na hukatisha tamaa wanandoa wote na kuna wakati wanaweza kujikuta wapo njia panda.

Tendo la ndoa au kuwa mwili mmoja ni muhimu kwa ajili ya kuijaza dunia pia ni muhimu sana kwa ajili ya mwanamke kupata raha kutoka kwa mume wake kupitia tendo takatifu la ndoa hasa anapofika kileleni wakati wa kuwa mwili mmoja.

Hata hivyo kuna asilimia kubwa sana ya wanawake hawajui kufika kileleni ni kitu gani na pia hata kama amewahi kufika basi ni mara chache na kubwa zaidi hajui kwa nini hawezi kufika kileleni akiwa na mume wake.

Sababu Zifuatazo ni moja ya mambo yanayochangia kwa kiwango kikubwa mwanamke kushindwa kufika kileleni (orgasm)

UJINGA
Kuna wanawake wanajua au wanafahamu baadhi ya mashine kama vyerehani lakini ukiuliza kuhusu viungo vyake vya uzazi hajui. Hali huwa mbaya zaidi pale mume na mke wote hawajui chochote kuhusu utendaji wa kazi wa viungo vyao za uzazi na hasa vile vinahusika na kuwa mwili mmoja.

Ni kweli katka zama za giza suala la mwanamke kufika kileleni lilikuwa halijulikani na mwanaume alikuwa anamtumia mke wake kwa raha zake na kujibinafsisha.
Hivyo ni muhimu mume na mke kufahamu utendaji wa viungo kuhusiana na suala zima la kuwa mwili mmoja. Kama hujui kisimi kipo wapi na kina kazi gani itakuwa ngumu sana kukufanyia kazi ili kitoe raha inayotakiwa au kusudiwa.

UNENE
Wanawake wengi ambao wana unene wa kupindukia pia hushindwa kujiamini au kuwa huru (self image) matokeo yake wakati wa kuwa mwili mmoja huhisi mume wake atachukia umbo jipya ambalo bibie kajiongezea hivyo anaweza kuanza tabia za kuogopa kuwa uchi mbele ya mume wake na matokeo ni kuwa disconnected kwenye feelings na tendo la ndoa na hata kama wakifanya anafanya kwa kujificha kwa mume wake (anaogopa kuonesha nyama zembe).
Na asilimia kubwa na overweight ni tamaa yao ya kufukia chakula bila utaratibu.

Anyway, kwanza hakuna uhusiano wa wewe kuwa fat na kuenjoy kuwa mwili mmoja na mume wake tatizo ni wewe tu hujiamini.

KUZUBAA
Wapo wanawake ni wazubavu wa hali ya juu wakati wa kuwa mwili mmoja. Wakati wa kuwa mwili mmoja analala tu kama gogo na kuacha mwanaume mchoyo na mbinafsi anajishughulishe na kumaliza hamu yake na kujiondokea kama vile hakuwa na kiumbe chenye uhai.
Tendo la ndoa ni contact sport (mchezo wa kugusana) ambao huhitaji watu wawili ambao wote wanashambulia kiwanja kwa juhudi zao zote.
Mwanamke anavyokuwa active ndivyo ataweza kutoa mwitikio wa wapi anajisikia utamu na kufurahia na hatimaye kufika kileleni. Wanaume ndiyo hufika kileleni haraka kwa sababu huwa active (ni genius) huwa hawazubai mke akishakuwa naked. Na mwanamke naye akichangamka urahisi wa kufika kileleni huwa mkubwa.

HATIA
Kuwa na hatia ya jambo lolote husababisha kufunga kwa hisia za ndani na kuzuia kuweka kufika kileleni.
Inawezekana unatembea na hatia ya mambo fulani uliyoyatenda katika maisha yako na yanakupa wakati mgumu kuwa free katika moyo wako.
Wakati mtu anakuwa amesamehewa dhambi zake, ufahamu wake (conscience) huwa huru na matokeo yake anakuwa ameondoa vizuizi vya kutofika kileleni.

MUDA
Kitu chochote cha kinachoridhisha huhitaji muda na tendo la ndoa halina msamaha. Zamani za kale (giza) kazi ya mwanamke ilikuwa ni kuzaa watoto tu linapokuwa suala la kuwa mwili mmoja na sex kati ya mke na mume ilikuwa sekunde 30 hadi dakika 3, lakini leo wanawake wamekuwa na uwezo wa kufurahia kuwa mwili mmoja na kupata raha at maximum.
Mke anahitaji zaidi ya dakika 10 hadi 15 kufikia kileleni na pia mwanaume anatakiwa kutoa movement za in and out kwenye uke angalau mara 75.

KUCHOKA
Ili kuwa na tendo zuri la kuwa mwili mmoja kiasi ambacho mke afike kileleni bila tatizo kitu cha msingi ni mume na mke kuwa na muda wa kutosha baada ya kupumzika.
Mke ambaye amechoka kwa kazi na majukumu hawezi kutoa cheche kitandani kwani amechoka.
Ni muhimu kuwa mwili mmoja baada ya wanandoa wote kuwa huru bila uchomvu wa aina yoyote.

MISULI DHAIFU
Inajulikana kwamba 2/3 ya wanawake ambao hawawezi kufika kileleni wana tatizo ya ulegevu au udhaifu wa misuli kwenye uke na ni rahisi sana kuondoa hili tatizo bila gharama kwa kufanya mazoezi ya kegel.

UBABE
Kumetokea wanawake ambao sasa nao wanakuwa kama wanaume hataki ku-surrender kwa mume wake, wanapenda kuwa viongozi wa kila kitu, wanapenda kutoa maamuzi, wana dominate kila kitu katika ndoa matokeo yake hata likija suala la kuwa mwili mmoja hataki kujikabidhi kwa mume wake kikamilifu ili amshughulikie kwa kusaidiana kupeana raha ya kuwa mwili mmoja.
Hawajikubali kama wao ni wanawake wanaohitaji mwanaume kumpa raha ya mwili mmoja matokeo yake feelings zao zipo disconnected na hata wakiguswa hakuna kitu.

Je, wewe unadhani nyingine ni zipi?


Maadui wa mwanamke kufika kileleni


Si utundu na ujanja wa mwanaume tu unaomwezesha mwanamke kupata utamu wa kufika kileleni (mshindo, orgasm, coming) bali mwanamke pia anahusika.

Kileleni.bmp


Kufika kileleni ni nini?


Ni kiwango cha juu kabisa cha utamu, hisia, raha, msisimko wakati wa tendo la ndoa wakati ambapo misuli ya uke au uume hukaza.
Kwa mwanaume huambatana na kutoa manii (ejaculation).
Wengine wakifika kileleni hupiga kelele sana, wengine huongea maneno ovyo ovyo hata matusi, wengine huzimia kabisa, wengine huwakwida wapenzi wao kama vile kibaka, wengine hutulia kimya na kupitilia za usingizi na wengine ukiwauliza wanasema mahali walikuwa ni kama vile walikuwa hewani, wengine kama vile walikuwa wananamwona Bwana (Yesu) n.k ilimradi tu ni raha na utamu na ni kweli Mungu alitupa zawadi ya ajabu na hii ni kujulisha kwamba Mungu alituumba tena kwa namna ya ajabu.

Pia wengine huita kufikia mshindo, wengine huita coming n.k
Pia wapo ambao kwa tendo moja la ndoa huweza kufika kileleni zaidi ya mara moja.

Je mwanaume na mwanamke wote hufika kileleni sawa?
Kwa wanaume kufika kileleni ni suala ambalo ni automatic, halina mjadala, kitu cha msingi kwake ni kujitahidi asifike mapema kileleni ili amfikishe mke wake pale anatakiwa kufikishwa, kwani mara nyingi mwanaume akifika kileleni hupoteza uwezo wa kuendelea na tendo.

Katika nchi zilizoendelea kama USA na Canada utafiti mwingi unaonesha kwamba
Asilimia 15 % ya wanawake hufika kileleni mara zote.
Asilimia 48 % ya wanawake mara nyingi hufika kileleni.
Asilimia 19 % ya wanawake ni kawaida kufika kileleni lakini si mara nyingi
Asilimia 11 % ya wanawake ni nadra sana kufika kileleni na
Asilimia 7% ya wanawake hawajawahi kufika kileleni na hawajui ni kitu gani.


Hapa ni wanawake kutoka nchi zilizoendelea ambako elimu kuhusu mapenzi ni kubwa sana.
je, kwetu nchi zilizogoma kuendelea hali itakuwaje?
Ukizingatia wanaume wengi bado hawajajua nini wanawake wanahitaji ili kufikishwa kileleni?

Pia kuna baadhi ya wanawake ambao hata wasipofika kileleni hawana shida wanaridhika tu bora maisha yanaenda.

Nini Kitu muhimu kuhsu mwanamke kufika kileleni?
Wanawake wanaweza kuendelea kupata utamu hata baada ya kufika kileleni hivyo ni jukumu la mwanaume kuhakikisha anabaki ndani ya uke hadi anahitimisha tendo zima (conclusion) angalau kwa dakika 10 au 15 ndo ukimbie kuoga au kupiga usingizi siyo kumwacha kiumbe wa watu kwenye mataa akuugulia kwsa kumuondolea utamu na raha.

Tendo la ndoa huwa ni la kuridhisha sana hasa pale mume anapomfahamu vizuri mwanamke na kile anahitaji kwa kumfanyia utundu wote wa kuchokonoa sehemu zote ambazo zinaweza kumhakikishia kwamba atafika kileleni.
Lakini pia mwanamke anasehemu kubwa sana ya yeye kujihakikishia anafika kileleni si mwanaume tu ni suala la wote.

Je maadui wakubwa wa mwanamke kufika kileleni ni nini?
Kukeketwa (Female Genital Mutilation).

Kukeketwa ni kitendo cha kukata sehemu ya uke hasa kisimi kwa wanawake.
Katika Afrika kuna nchi 28 ambazo hufanya hicho kitendo cha kikatili, na pia nchi kama Yemen na Indonesia bado wanafanya.
Ingawa wanawake waliokeketwa huweza kurudia hali ya kuweza kufika kileleni, walio wengi huathiriwa sana na hiki kitendo na kuwasababishia kushindwa kufika kieleleni.

Dini, jadi na utamaduni:
Kuna baadhi ya mitazamo na malezi ya dini, jadi au tamaduni huwapa wanawake mtazamo mbaya, finyu na usio na maana kuhusiana na tendo la ndoa.
Katika dini, jadi, na tamaduni nyingi ukiacha jando na unyago, elimu ya mwanamke kuhusu mwili na uzazi havifundishwa wala kutamkwa matokeo yake wanawake wengi hawaijui miili yao, kiasi ambacho unakuta kijana wa kiume anamuoa binti hajui chochote kuhusu mwili wa huyo mwanamke na mwanamke mwenyewe hajui chochote kuhusu mwili wake mwenyewe, akiguswa chuchu anakataa kwani ni kwa ajili ya mtoto, hapo utategemea afikishwa kileleni kweli?

Kisaikolojia.
Hili huchangia kwa asilimia 95 kwa matatizo yote yanayosababisha mwanamke asifike kileleni.
Adui mkubwa anayetisha sana wa mwanamke kutofika kileleni ni akili (mind.)
Hofu labda ya kuachwa,
mashaka, kutojiamini, kukasirika,
donge moyoni, kisirani au
mahusiano kutokuwa mazuri huweza kusababisha mwanamke kutofika kileleni.
Kushindwa ku- concentrate kwenye tendo lenyewe na kupata hisia halisi (sensations).
Kuwa na mawazo ya kitu kingine wakati wa tendo la ndoa
Mawazo hasi (Negative) kuhusu tendo la ndoa, pia Kuwa mchomvu.

Kibailojia
Kama vile kuwa na mfumo ovyo wa mzunguko wa damu kwenye maeneo ya viungo vya uzazi pia huchangia.
Anaweza kuwa na uvimbe au kisukari pia huchangia.
pia hitilafu za viungo baada ya kufanyiwa upasuaji hasa sehemu ya uke.

Umri (Menopause)
Kuna wakati mwanamke kuanzia miaka 48 – 52 hupata mabadiliko ya upungufu wa homoni na huo upungufu husababisha sehemu ya uke kuwa kavu wakati wa tendo la ndoa.
Kuwa na uke mkavu huchangia katika ufanisi wa tendo la ndoa kuwa mdogo na hatimaye kushiondwa kufika kileleni
Si kweli kwamba mwanamke akizeeka uwezo wa tendo la ndoa unakuwa mdogo, muhimu ni kutumia vilainisho kama gel au KY jelly na libeneke linaendelea kama kawaida.

Kutumia madawa (Medicaments).
kama unatumia dawa za kuzuia msongo wa mawazo pia huchangia ile hamu ya tendo la ndoa (libido) na matokeo yake kukosa kufika kileleni.
Pia kuna dawa za uzazi wa mpango hupunguza hamu ya tendo la ndoa hasa zile ambazo huingizwa mwilini (sindano)
Pia dawa za kupunguza pressure hupunguza uwezekano wa kufika kileleni.

Pombe, madawa ya kulevya na sigara
Alkoholi na madawa ya kulevya hupunguza sana hamu ya tendo la ndoa.
Huathiri mfumo wa Fahamu unaohusika na mzunguko wa hisia za mapenzi kati ya ubongo na uke.
Kama inavyoathiri (alkoholi) mwanaume kudindisha vilevile huathiri mwanamke kufika kileleni.

Mwonekano, urembo na umaridadi:
Kwa mwanamke jinsi anavyoonekana na jinsi mwanaume anavyoonekana kuna sehemu katika hisia za mapenzi (emotions na feelings).
Kama yeye mwenyewe anajijua kwamba hayupo vizuri kimwonekano (urembo, usafi, harufu) na pia kama mwanaume hayupo sawasawa basi anakuwa ameathirika sana kiasi ambacho hawezi kufika kileleni.
Pia wanawake wana uwezo mkubwa kunusa harufu kuliko mwanaume hivyo harufu yoyote mbaya kwake huwezi kumpeleka nje kabisa ya njia ya kwenda kileleni.

Mazingira
Kama eneo au chumba mlichopo hakina usalama kama vile anahisi mtu anachungulia au anaweza kuingia, kwa mwanamke hiyo ni issue kwani hawezi kufika kileleni kwa sababu ya usalama wake.

Je kuna jinsi ya kuondoa tatizo la kutofika kileleni?
Kujiruhusu mwenyewe kupenda tendo la ndoa na zaidi kupenda kufika kileleni kwa hamu kubwa.
Kuwa responsible kwa mambo yote yanayohusu ufanisi wa tendo la ndoa.
Kujipa elimu na maarifa kuhusu elimu ya mapenzi kwa mwanaume na mwanamke, viungo vinavyohusika na kila kitu kinachiweza kukupa tofauti katika ufanisi uimarishaji wa tendo la ndoa kama unavyosoma hapa sasa hivi.
Kuwa na mawasiliano wakati wa tendo la ndoa hasa kuhusiana na maeneo yote ambayo unasisimka pale ukiguswa au kuchezewa.
Kufanyia kazi kila tatizo lolote la kisaikolojia na kupata solution kabla ya tendo la ndoa.
 
Mmmmm wengine ukipiga hayo mayowe anapoa baada dak 2 juu.....tena
 
Kila mtu ana kitu chake kinachompandisha mahanjamu, kama wewe mayowe yanakufikisha- sawa, good for you lakini sio kila mtu! Wengine ngoma inaweza ikanywea kwa hayo makelele!
 
Kila mtu ana kitu chake kinachompandisha mahanjamu, kama wewe mayowe yanakufikisha- sawa, good for you lakini sio kila mtu! Wengine ngoma inaweza ikanywea kwa hayo makelele!

Hujapata mpiga yowe wewe, mwenzio nilipatikana kule bondeni sasa subiri wenye kufanyia walete majibu msianze siasa sasa...nakujua sana tabia zako za ubishi.
 
heh! Mayowe ya kishindo au? Maana usikute hayo mayowe ni ya kuzulu zaidi ndo maana wanazijulia wenyewe na wanaume wao wamezoea.Yaani ni kati ya kichocheo kwenye mapenzi yao.
Watu hawakuwasikia nje kwa hayo mayowe?

Kwangu mimi kama hamalizi haraka,tunaahirisha. Masaa 2 hajaitika kweli ni shughuli ila mwisho wa siku kila mtu na taste zake mkuu. Wengine wanapenda masaa mengi.
 
Last edited:
:)Ndugu zangu katika ulimwengu wa Mahaba,
Hivi karibuni nilipata fursa kwenda nchini Afrika Kusini katika kulisaka tonge na kufaudu maisha. Basi kama mnavyojua kwa wale wenzangu tunaosafari sana sehemu tofauti, mara nyingi kiu cha wenye kinakuwa kikubwa sana na pia kuna radha fulani huipata.

Sasa pita pita yangu nikaopoa mtoto mmoja wa kizulu, bwana nilipelekwa mchaka mchaka hadi ikabidi niongeze siku mbili ili niweze kukata kiu kwa utulivu. Kitu kimoja kipya nilichojifunza pale kwa babu ni ule utaalam wa kulazimisha mechi iishe hata kama hukutaka. Yule mtoto bwana alikuwa akijua tu amechoka basi anapiga YOWE moja matata kama vile ameng'atwa na kitu, wajomba msipime, nilikuwa napata msisimko wa ajabu na dakika hiyo hiyo habari inaishia hapo. Huu ni ushauri wa bure hasa kwa wadada wanaoteseka na Mijanamme yenye uwezo wa kukaa masaa moja hadi matatu kiunoni pasipo kueleweka. Ni dawa ndogo tu, ukitosheka, angusha kilio kikubwa wanaitwa ukelele utanusurika na mateso...ikishindwa hii usisite kuja upate dawa nyingine.


Ha ha ha ha ha ha hebu lirudie hilo YOWE matata hapa JF ha ha ha ha...LOL!
 
Mzee wa fiksi hapo umeongea, yaani bila yowe mi hunipati, lina raha yake hasa umkute mwizi ananong'oneka, pale mi ndio mbio .....
 
Kwangu mimi kama hamalizi haraka,tunaahirisha. Masaa 2 hajaitika kweli ni shughuli ila mwisho wa siku kila mtu na taste zake mkuu. Wengine wanapenda masaa mengi.

Nakumbuka last time ulivyoninunia anyway you're so good and sweet!
 
Bwana tusiifaidishe jamvi ila tuwape ile mbinu yetu mana haya mayowe watu wanaweza kuzingira nyumba kuhisi nakabwa!!! Mayowe yasipitilize..

Nimekusoma sweetie! unajua wakati mwingine kuwa na taulo jirani ni muhimu mwenzako akipagawa kwa makelele wamfunika na taulo!! hahahahaha
 
Nimekusoma sweetie! unajua wakati mwingine kuwa na taulo jirani ni muhimu mwenzako akipagawa kwa makelele wamfunika na taulo!! hahahahaha

Haswa maana tutasumbua mtaani, raha yetu tusumbue wengine my dear haipendezi. Huyo fiksiman inaelekea anatamani kurudi kwa zulu akapigiwe mayowe mengine ati..
 
ha ha ha

...mnanikumbusha Kelly01 na Nyani Ngabu, na Couple nyingine; Penny na Balantanda..endeleeni tu kupigana 'sweet-talks' lakini mjue mkikorofishana nawafungulia thread yenu hapa hapa...! :)
 
ha ha ha

...mnanikumbusha Kelly01 na Nyani Ngabu, na Couple nyingine; Penny na Balantanda..endeleeni tu kupigana 'sweet-talks' lakini mjue mkikorofishana nawafungulia thread yenu hapa hapa...! :)

Hahah Balantanda tangu amehook up na Penny naona amepotea amekuwa sio regular tena.
Haya mambo ya mayowe nyumba iwe na ceiling lakini mambo ya nyumba zisizo na darii mnaweza kumwagiwa maji ya moto au kurushiwa upupu bure. Inaonekana wengi humu kuibiwa rahisi lol eti akipiga YOWE mie mwili unaisha nguvu hahahah!!! You have made my day.
 
ha ha ha

...mnanikumbusha Kelly01 na Nyani Ngabu, na Couple nyingine; Penny na Balantanda..endeleeni tu kupigana 'sweet-talks' lakini mjue mkikorofishana nawafungulia thread yenu hapa hapa...! :)

Mbu usinichekeshe...huu usweet utaisha kama man utd watakutana fainali na chelsea kwenye uefa maana ni wapinzani..halafu tutarudi kwenye common jf name, sema mkuu bla bla....huh!
 
Mbu usinichekeshe...huu usweet utaisha kama man utd watakutana fainali na chelsea kwenye uefa maana ni wapinzani..halafu tutarudi kwenye common jf name, sema mkuu bla bla....huh!

Huwa tunabishana kwenye mipira lakini in bed were one body!! Kwa kifupi this is for real na tutawakaribisha wanaJF kwenye harusi no mchango....Bellies mwambie Mbu bwana....!
 
Huwa tunabishana kwenye mipira lakini in bed were one body!! Kwa kifupi this is for real na tutawakaribisha wanaJF kwenye harusi no mchango....Bellies mwambie Mbu bwana....!

Masanilo, Ya kweli hayo???? Hiyo harusi itafanyikia nchi gani??????
 
Bellie where are you! Njoo tutoe ushuhuda wetu hapa na wanaJF !

hehehe na wewe unataka ufanye practical hapa hapa mayowe siku zote ni wizi mtupu anakuibia tu....
mi nilichukua kitu kilikuwa ( . ) mi naelea tu alafu kinapiga mayowe nikamwambia acha kuniibia bana.
 
hehehe na wewe unataka ufanye practical hapa hapa mayowe siku zote ni wizi mtupu anakuibia tu....
mi nilichukua kitu kilikuwa ( . ) mi naelea tu alafu kinapiga mayowe nikamwambia acha kuniibia bana.

Kwani anapopiga mayowe huwa anaumia sana au huwa anafurahi sana?????
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom