Mapenzi yalivyoniumiza

Mapenzi yalivyoniumiza

Hebu nipe samare... anazungumzia nini huyu kiumbe?

Analilia lia tu,sijui maria sijui anawengi lol
Ndo namwambia kwani yupo maria peke yake?
Na utamuamini vipi mtu 100% tena umejuana nae ukubwani
 
Haya mambo ya Episode nani amewafundisha? Si uandike tuu iishe tujue moja
 
Uende Ukajisajili Kwenye Magazeti Ili Utoe Iyo Story Huko, Unaweza Kupata Na Chochote. Yaan Umri Huo Bado Unashangaa Mapenzi? Sio Yeye Ni Pepo, Na Wewe Ndio Pepo Mkuu.

Fanya Utaratibu Tafuta Mke Mwema Uoe Kwa Ndoa, Hayo Si Maisha, Ipo Cku Utajikuta Upo Baharini.Ucfikiri Eti Jini Lazma Atakuwa Na Jicho Au Mguu Mmoja,ila Matendo Yake.
Mungu Akusaidie Ktk Jina La Yesu Kristo.Amen
 
Ukifika episode ya mwisho niite nisome, wengine nusunusu mwiko.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom