4400
Senior Member
- Aug 29, 2015
- 122
- 44
Mke wangu ana kiburi kweli, na akikosea hataki kukosolewa ana kasirika na kuwa kimyaaa au analia na hajui kuomba msamaha, nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo anadai amechoka.
Nimejaribu kuchunguza labda ana mchepuko unaomfanya kuwa hvo sijaoona lakini pia nimegundua anadeka sana hata ambapo haifai kudeka nifanyeje? Pili huyu mke wangu anataka kwenda kusoma na akilipata division four ya 31points nishaurini ni chuo gani kinamfaaa hasa anasikia ananiaisitizia kusoma mambo ya ustawi wa jamii inaezekana kweli?