Wakuu heshima kwenu!
Nimejikuta napata wakati mgumu sana kukutana na mtu ambaye niliwahi kumsumbua hata kujaribu kumtishia kwa namna moja...
Kuna dada mmoja, ambaye tulifahamiana kwenye...
Ye Hataki Kusemwa, Hataki Kuambiwa, Huyu Kuku Maringo, Japokuwa Bado Mbichi, Mpevu Kama Mwezi Mchanga, Mie Aka,
Mie Mikogo Siwezi,
Mie Nalitaka Li Jibata! Longo Longo Kwake Mwiko, Bata Auliza...
A 16-year-old girl, Miss Benita Arit Etim Edem, has made a shocking confession, alleging she was impregnated by her 70-year-old father, Etim Edem Edet.
Miss Arit, who has abandoned her...
Wiki yote hii nipo Dar nikitekeleza majukumu yangu. Katika kupitapita kwenye ofisi husika, ijumaa niliingia ofisi moja ambayo mmoja wa "staff" niliwahi "kuonja". Niliwasalimia kwa unyenyekevu...
Wapendwa habarini za jumapili!?
Weekend huwa napenda sana kuangalia movies zikiwemo series mbali mbali!
Sasa kuna series inaitwa "the fixer" inaonyeshwa MNet movies!
Kwenye hii series kuna...
........ninayo furaha kuwataarifu kuwa ndani ya miezi miwili ijayo nitapata date ya kwanza kabisa, what shall I observe....??....wazoefu wa dates please
Its my very 1st date of life
Hi Forum,
Natafuta sugar mummy mwenye umri kuanzia miaka 45 nakwendelea. Awe na biashara au mfanyakazi. Mimi nipo kwenye Mining industry nipo late 30s.Ningependelea sana awe anaishi dar, that...
Wakati nafunga ndoa nilidhani mke wangu ndiyo angenizalia mtoto wa kwanza.lakini cha kushangaza mchepuko ndio umeniambia una mimba yangu.
sasa. sijui nikatae au nikubali nipo njia panda.
Na mke...
Imekuwa kama fassion hivi kulikuta gari nyakati za usiku limepaki mahali huku likinengeneka.
Ukijaribu kuchunguza vizuri unakugundua kuna mwanamke anagegedwa na ni mke wa mtu.
Wanaume mlio oa...
DADANGU
UNATONGOZWA AU UNAWATONGOZA WEWE?
Kuna kisa kimoja nimekisoma mahala kikanivutia kiasi nikaona si vibaya nikakiweka hapa na dada zangu wengine wakapata kufaidika, japo kidogo nao wakaweza...
Ni kama amehisi kuna kitu kinaendelea.Leo wakati najiandaa kwenda kazini kaniita pembeni na kuniambia kuwa anataka niende Tanga ukweni tukasalimie lakini kwa sharti kuwa tukirudi Mimi na mke wangu...
Habari wapendwa, nimekuja humu maalum kwa ajili ya kupata ushauri wenu ingawa sio mgeni kivile, mimi ni mdada mwenye umri wa miaka 30 ni muajiriwa katika shirika moja la serikali hapa jijini...
Mambo vipi wanaume wenzangu?
Ebana mpenzi wangu akiumwa huwa anageuka kero jamani,kila akiniona ndo madeko yanazidi,mara anataka kula kitu flani nikimletea anakishka kidogo tu anasema...
BADO NAMTETEA MWANAMKE
Bado niko Dodoma, ni bahati nzuri kwamba mchana huu tumekuwa na mjadala kuhusu mwanamke. Bado kuna watu hawamwelewi mwanamke, bado wanamshusha, wanamchukulia tu kama...
Hellow
Nahis baadhi ya hawa dada zetu wana 100 ways of exploiting and using men, kwa selfish reasons zao.
Juzi Juzi kuna mdada ambae ni classmate wangu nlimtembelea ghetto kwake FOR THE...
Mke wangu ana kiburi kweli, na akikosea hataki kukosolewa ana kasirika na kuwa kimyaaa au analia na hajui kuomba msamaha, nikimuuliza kwa nini anafanya hivyo anadai amechoka.
Nimejaribu...