Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

On JF:

Mm ni kijana miaka30,nahitaji mpenz/mchumba wa kike mwenye miaka 30-37 awe na elimu ya masters/phd. Vigezo vya kimaumbile na kimuonekano havitazingatiwa.
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Heshima kwenu wadau MMU, Nimekuwa mtumiaji wa MMU na JF kwa ujumla,nimefaidika kwa mengi na zaidi kutangaza na kuungwa mkono kwenye biashara yangu ya Utali. 22/10/2015 Nitakuwa na day trip ya...
4 Reactions
39 Replies
3K Views
Jamani wana Jf hivi ni kwa nini kina dada wengi hawapendi kutoa ushirikiano kwenye tendo la ndoa wanakuwa wanalala tu wanakuacha mwanaume uhangaike kwa kila kitu..!!?.
0 Reactions
105 Replies
23K Views
Wapendwa shalom, Napenda kuwauliza kuwa kama siku zote wakati wa unyumba mke hakua akijua kukata mauno, kama tunafanya anakua amelala tu haangaiki, sasa ghafla anaanza kuonyesha ujuzi, kuna...
1 Reactions
90 Replies
17K Views
kama wewe ni mwanamke uliye serious, na unatafuta mume niPM. Vigezo na mambo mengine tutazungumza private. kama hupo serious ipotezee.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nimepita sehemu nyingi tu kwa mizunguko ya maisha tangu nikiwa nasoma hadi kufanya kazi. Katika mazjngira ambayo nimebahatika kuwa ndani yake nimejifunza mengi kuhusu mahusiano na nikajikuta...
2 Reactions
85 Replies
8K Views
Kichwa cha habari hapo juu cha husika, Jinsia yangu ni mwanaume urefu wastani rangi ya kunde na mail wa wastani sio mnene wala mwembamba elimu chuo kikuu kazi serikalini dini Mkristo, lugha nne...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wana jukwaa, Ni matumaini yangu kila mmoja ni mzima na anaendelea na majukumu yake yakawaida, Ni muda kidogo sijaeka vimikasa vyangu huku sio kwa sababu havikuwepo thought i was...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Mpo? Nimepotea, ila si kwa ubaya. Kuna jambo naomba kufahamu kutoka kwenu wataalamu. Je, hizi sinema za ngono zina manufaa na madhara gani hasa kwa mtu aliyeoa kama mimi. Nilipata kuangalia...
0 Reactions
47 Replies
26K Views
Kama ni binti mrembo upo Arusha PM me then tutajadili kitu me na wewe.Umri 18-25,it is in good concern don't fear anythn
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Mapenzi matam ila ikifika hatua ya kuhonga ninakuwa katika wakati mgumu hasa pale utakuta msichana unamtongoza saa mbili saa sita anakuambia hana ela ya kula. Baada ya siku tatu anakuambia kodi...
0 Reactions
22 Replies
4K Views
Wakuu, kwel leo nimechelewa kurud home,nafika tu mke wangu kavamia gari kavunja kioo cha mbele,je nimlipishe au nisamehe
2 Reactions
46 Replies
5K Views
Je, wana MMU ni tatizo kulala na wapenzi wawili kitanda kimoja na wote unawashughulikia hadi hawataki wao, naongea hivi kiukweli mpenzi mmoja au mke mmoja ni shida eeeh coz unajikuta haujamaliza...
1 Reactions
30 Replies
5K Views
Kama mlipendana mkaoana na sasa unahisi mapenzi yamekwisha na umemchoka...... Hii hua inatokea isikupelekee kufanya maamuzi magumu......... Simpe,mpe likizo aende nyumbani japo kwa wiki mbili au...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Mwanaume wa kwanza kwake chance huongezeka ya kumpata kama kukiwa na ukaribu au anamfahamu sana,hapa akiwa king'ang'anizi na kukomaa unaweza ukamvua pichu na ukamuonyesha dira hapo sasa mwanamke...
10 Reactions
42 Replies
8K Views
Nilipokuwa mdogo mzee wetu alikuwa na sehemu maalumu ya kukaa pale sebuleni,nyie wengine mnaweza kujidai kukaa hapo kama yuko kazini,akirudi kila mtu anajua hii ni position ya mzee hakai hapo,hata...
7 Reactions
79 Replies
9K Views
Kuna kundi naliita la wamama wa JF wenye heshima zao! Kundi hili linaundwa na kina gfsonwin, Kaunga, Fixed Point, Asnam, Lisa, nyumba kubwa, snowhite, Nivea, Ablessed, AshaDii, NANDERA, Hornet...
46 Reactions
247 Replies
17K Views
1: Kuoa au kuolewa 2: Kuwa single (kutojihusisha kabisa na mapenzi 3; kuwa na michepuko (play boy/girl)
0 Reactions
34 Replies
4K Views
nimepigiwa simu toka shule, leo sports day mwanangu kaingia na kisu uwanjani
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Back
Top Bottom