Mke anahitajika

Mke anahitajika

mopeka

Member
Joined
May 2, 2015
Posts
28
Reaction score
15
Mi ni kijana wa miaka 30 natafuta msichana mweye umri kati ya miaka 21-25 ambae tutaish kama Mme na Mke. alietayar ajtokez.
 
kwani uko mtaani kwenu hawapo??? au kijin kwenu!!

chagua lowasa upate mabadiliko wapenz wa kuonana humu ni uhuni tu kaka!! coz hata changu laweza kupm af ukajikuta pabaya, tafuta mtaani tu kaka angu hawa malaya wa humu kwenye mitandao achana nao hawafai kwa sababu huwajui vizvr
 
Khheee sasa hayo ni matusi ya wazi tuliomo huku una uhakika ni malaya? Na hao wa mtaani ndo wema sana?
huku jf kuna watu na heshima zetu bana tafadhali usitushushie heshima
 
Ukiona Upo Kwa Gari Af Simu Ikaita Ukastuka Kumbe Haiit Ya Kwako Jaribu Yako Kuweka Silent Maana Inayoita Haikuhusu
 
Hahaha. Yaani umeisema utafikiri unatangaza nafasi za kazi bana. Tena za kujitolea. Ongeza hata ubunifu kidogo bro, niaje eroo?
 
kwani uko mtaani kwenu hawapo??? au kijin kwenu!!

chagua lowasa upate mabadiliko wapenz wa kuonana humu ni uhuni tu kaka!! coz hata changu laweza kupm af ukajikuta pabaya, tafuta mtaani tu kaka angu hawa malaya wa humu kwenye mitandao achana nao hawafai kwa sababu huwajui vizvr

Malaya mwenyewe,tena Malaya 100X
 
Mi ni kijana wa miaka 30 natafuta msichana mweye umri kati ya miaka 21-25 ambae tutaish kama Mme na Mke. alietayar ajtokez.

nilikuwa na mawazo haya nilipokuwa kidato cha pili kumbe mambo yako tofauti sana
 
Nenda kanisan leo mke mwema hutoka kwa mungu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom