Kuku - Maringo Tena!, Kwangu Aka!, Bora Bata!

UngaUnga

JF-Expert Member
Joined
Dec 28, 2014
Posts
1,724
Reaction score
1,471
Ye Hataki Kusemwa, Hataki Kuambiwa, Huyu Kuku Maringo, Japokuwa Bado Mbichi, Mpevu Kama Mwezi Mchanga, Mie Aka,
Mie Mikogo Siwezi,

Mie Nalitaka Li Jibata! Longo Longo Kwake Mwiko, Bata Auliza Wataka Kula Na Kijiko? Au Kwa Mkono? Mie Namwambia Mkono Kulia Kule Waja Leo Waondoka Leo Ndio Pahala Pake! Bibie, Bibie Aguna Huku Anrembulia Macho, Bibie Bata Wangu Hana Rapsha, Ankogesha Vyema Kisha Aniuliza Wataka Nikufungulie Humu Humu Bafuni, Au Chumbani, Namwambia Bibie Tufungulie Humu Humu Bafuni, Kisha Tutanywea Sebuleni Tena Then Twamalizia Chumbani, Bibie Anbinukia Aniuliza Waweza Teleza Weye!? Kabla Hajamaliza Kuongea Mie Tayari Nshateleza! Huo Ndo Utamu Wa Bata, Bata Ayajua Mahaba! Sio Kuku Maringo Wa Mtaani, Kwanza Bata Ajua Kujisafisha, Si Sawa Na Kuku Maringo Wa Secondary.

Story Za Ungaunga, Aishie Mabibo Na Pia Ni Mzee Wa Mabibo Pia!.
 
Last edited by a moderator:

Watu wa mabibo mna mambo...! Sijui ni kwasababu ya yale mabwawa saba? Pembezoni mwake mnapaita beach
 
Utaelewa Tu Dadaangu Preta Naona Usiku Ulikuwa Na Usingizi, Haya Nisome Sasa Kwa Kituo Bila Kuruka Mstari.

Sio nimeelewa.......nilikuwa nimelewa......na hii hangover........sidhani kama nitaelewa.........
 
Aiseeee dunia ina kazi ila Malaika wana kazi zaidi
 
Ucpime mwanangu, lijibata mpango mzima. Wachagua tu barazani au uwani. Wajilia vyako
 
Kweli Mkuu, Li Jibata Halina Malingo, Popote Kazi Iwe Kichakani, Barabarani Popote! Tu Kazi Ni Kwako! Vikuku Maringo Vinasumbua!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom