Moyo ni kiza kinene.

Moyo ni kiza kinene.

Ngwananzengo

JF-Expert Member
Joined
Jul 28, 2012
Posts
1,911
Reaction score
1,322
Wiki yote hii nipo Dar nikitekeleza majukumu yangu. Katika kupitapita kwenye ofisi husika, ijumaa niliingia ofisi moja ambayo mmoja wa "staff" niliwahi "kuonja". Niliwasalimia kwa unyenyekevu mkubwa, yule dada ambae gari LANGU lilishamgonga aliniangalia kwa dharau na kibeki kubwa. Hata salamu yangu aliitikia kwa dharau pia.

Hapo ndipo nilipoamini moyo ni kiza kinene. Huyu dada ki ukweli ana muonekano mzuri na "mashallah" Mungu kamjalia figa ya uhakika. Mara ya kwanza nilipopewa nafasi ya kuonja Tunda nilikutana na mashine mbovu sijawahi kuona. Nikasema ngoja nirudie, hali ilikuwa ile ile. Niliporudi mkoa sikutaka kuwa nae karibu kwa mawasiriano.
Baada ya kunionyesha dharau na kebehi nilishukuru sana kwani hata mimi sikuwa na ratiba nae. Pengine angenichangamkia na kunionyesha bashasha huenda ningemwachia hata "weekend" maana uso umeumbwa na haya.
NB:Hata sisi wanaume huenda tumewamwaga mabinti tukidhani tunawaachia maumivu kumbe tulikuwa kunde tukiongeza mashuzi kwa weza wetu.
 
Bila shaka hujamkuna vizuri. Ungemkuna vizuri angekuheshim.
 
Ngwananzengo kumbuka kwamba kila mashine inahitaji service ili iweze kufanya kazi kwa viwango
 
Last edited by a moderator:
Kichwa cha habari na yaliyomo......zilongwa mbali, zitendwa mbali.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom