The most powerful man on the world

Thegame

JF-Expert Member
Oct 14, 2011
2,273
2,388
Wapendwa habarini za jumapili!?
Weekend huwa napenda sana kuangalia movies zikiwemo series mbali mbali!
Sasa kuna series inaitwa "the fixer" inaonyeshwa MNet movies!
Kwenye hii series kuna jamaa ame igiza kama Raisi wa marekani na katika moja ya vipande anaigiza akiwa na mkewe wa kiwa faragha!
Jamaa inaonyesha hayuko fiti sana kitandani na wakaanza kujibizana na mkewe! Kwenye hayo majibizano jamaa akamuambia mkewe "you know am the most powerful man on the world?"
Mkewe akamjib " ooh yeah?? Then show me!! Jamaa akainamisha kichwa chini!!!
Nikawaza!
Hata uwe na cheo gani hapa duniani, lkn kama dushe halipandi hasira utaonekana ---- tu!
Hata uwe mcheshi kuliko wengine, hata uwe born town kiasi gani, kama dushe halifanyi kazi kisawa sawa bado utaonekana ---- tu!!!
Vidume tuzidi kujiweka vizuri ili demu/mkeo tuwadhihirishie kwamba we the most powerful than the others!!!
 
Wewe dogo. Hamna kiingereza cha hivyo. .
..on the world.... Maria wangu wa baby class anajua umechapia
 
Kwenye hayo majibizano jamaa akamuambia mkewe "you know am the most powerful man on the world?"
Mkewe akamjib " ooh yeah?? Then show me!! Jamaa akainamisha kichwa chini!!!
Nikawaza!

I am so disappointed by the man. He couldn't even print out the world's map, and stood on it??
 
Wanawake ni creator and destroyer of the world.Hata CCM walioharibu nchi huchaguluwa kwa wingi na wanawake. The most poweful man can be destroyed by a mere harlot papuchi
 
Uwe na pesa halaf dude nalo linadisa vizuri ndo utaona utamu wa dunia. Watoto wazuri unawavunja kiukweli, wakikuona tu wanaanza kuloa. Huo ndo uanaume. Mwanamke hamjaonana hata miaka minne, na unaweza kuta hata ameolewa, lakini anatafuta namba yako mpaka anaipata ili akuambie anakupenda na amekumiss. I love this game!!!
 
On the world ni Mungu. Labda in the world.
Pitia upya vipaumbele vitatu vya Lowasa
 
Wewe dogo. Hamna kiingereza cha hivyo. .
..on the world.... Maria wangu wa baby class anajua umechapia

Nyie ndio mnatiwaga madole na kina Nyosso kwa kujifanya mnajua sana kizungu!!
Hivi hujaelewa kweli Kwasababu tu ya hiyo "on"???
 
Uwe na pesa halaf dude nalo linadisa vizuri ndo utaona utamu wa dunia. Watoto wazuri unawavunja kiukweli, wakikuona tu wanaanza kuloa. Huo ndo uanaume. Mwanamke hamjaonana hata miaka minne, na unaweza kuta hata ameolewa, lakini anatafuta namba yako mpaka anaipata ili akuambie anakupenda na amekumiss. I love this game!!!

Hii ni kweli!
Ukiwa na hela na kitandani uko strong!
Nadhani hata nikijiita thegame ni halali!!!
 
Back
Top Bottom