Nauli ya ndege,jaman nyie wanawake vp

Nauli ya ndege,jaman nyie wanawake vp

rutakana

Senior Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
119
Reaction score
72
Wasalaam wanajf,nmekutana na bint trh 14,cku hyo ndo akanipa jibu la ndiyo,bt nlkuwa nmemtongoza kipnd kirefu bila mafanikio,lkn kwny maelezo yake akasema aliongea na mtu akamuulzia unamfaham mtu {Y} jamaa akasema ndio,na akanisifia sana huyo mshikaji
Sasa cku hyo hyo jion ya trh 13 mwez huu ndo akanitext,bas mtu mzima nkafurah sana,nakusema ukweli cku hyo alkuwa anarespond kila nlchomwambia ndo ikapelekea tuonane trh ya kesho yake 14,tukapga story nyng includng kuelezeana background zetu,so cku hyo mtoto akakubali vizuri.



Kinachofanya nilete story hii hapa kwa wanajukwaa,ni kwamba toka cku hyo ya trh 14,huyu mtoto bado anasuasua kwny mawasiliano huku mim nkiwa sharp kiukweli yan mkutumia text na kumpigia sana ,bt smts hapokei cm,yan naweza kumtumia romantic sms bt yy anajibu kawaida mpaka anaboa,lkn bado nmo tu,sasa huyu bint alkuwa anapanga kusafir nextwk so jana ndo akanipigia cm for the first time akiomba hela ya kupanda ndege,so kunavitu nmejiulza:
1. Je huyu dada ana mapnz ya kwel na mm au ndo wale wachunaj tu
2. Ndo tumejuana cku kama sita lkn anataka nauli ya ndege
3. Au anataka kuntumia tuu bas

Wanajf naomben ushaur kwa hili,matusi,kejeri na vijembe ctaki,ila ushaur ni muhimu kama ni mtu sahii kwangu kwan bado cjamjibu chochote toka jana.

Nb sishndw kumpa hela bt its too soon
 
Mi nahisi baada ya kugundua atasafiri ndipo akakukubalia ili akuvute kwake akupige mzinga

kuhusu anakufaa au hakufai hilo mimi sijui
 
wewe unaonaje maana jibu unalo sema unataka kuhakikisha

1 bonyeza moja kuhakiki muama

2 kusitisha muamala

choose 1 or 2

haa haaa huo ndo ushauri wa kibabe.
 
Inategemea na anavyokujua...Unaweza kwa urahisi gani kutoa hiyo nauli ya ndege?
Kama hajakujua vizuri financially then anaweza kuwa ni limbukeni tu ama kweli hajali.

Halafu haya mambo ya unakutana na binti leo halafu unaanza kumtongoza leo, usishangae sasa the way anavyoturn out to be. Kwa sababu na wewe kwani unamjua hadi uanze kumtongoza? Ukiwa close na mwanamke mambo yatakuja kujiseti tu bila hata nguvu nashangaa bado watu wanakomalia kutongoza na kuomba majibu. Wanapewa majibu hata kuzoeana hamjazoeana eti ndo wanaaanza kuchat! Mapenzi ya zamani hayo....
 
Wadada wanapenda sana kuchatt,kama hakujib tex zako na anapatkan,
Swali;anachat na nan???
 
Naomba niulize swali mkuu, huyo bint ndio mwanamke wako wa kwanza? hujawahi kutongoza au hujui kupenda na kupenda wewe?
 
Mi nahisi baada ya kugundua atasafiri ndipo akakukubalia ili akuvute kwake akupige mzinga

kuhusu anakufaa au hakufai hilo mimi sijui

Bt before alisema atasafir na basi hakukuwa na makubaliana yoyote mm na yy kuhusu kumlipia hata hyo nauli ya basi lkn sahv nashangaa kuniita bby nyng ili nimpe nauli ya ndege
 
If it's worth it na unaweza ku-afford, toa tu. Hujasema hata hiyo ndege anapanda kutoka wapi kwenda wapi. Maana siku hizi return ticket ya Mwanza-Dar kwa ndege ni cheaper zaidi ya ya basi.

Jo'burg kwenyewe, kwa dola 191 unapata return ticket. Kazi kwako.
 
Bt before alisema atasafir na basi hakukuwa na makubaliana yoyote mm na yy kuhusu kumlipia hata hyo nauli ya basi lkn sahv nashangaa kuniita bby nyng ili nimpe nauli ya ndege

Endelea kushangaaa ila chagua kulipa au kutolipa
 
Asa we usitoe tiket ya ndege na huyo mrembo utamkosaa!!!
 
If it's worth it na unaweza ku-afford, toa tu. Hujasema hata hiyo ndege anapanda kutoka wapi kwenda wapi. Maana siku hizi return ticket ya Mwanza-Dar kwa ndege ni cheaper zaidi ya ya basi.

Jo'burg kwenyewe, kwa dola 191 unapata return ticket. Kazi kwako.
Anashangaza!!! Kma Yupo Ok Ampe Tuu!! Reginald Mengi Kawasaidia Watanzania Wangapi Na Katoa Kiasi Gani Mfukon Mwake Mpka Sasa?? Mpe Kma Unatoa Msaada, Usitegemee Return Ya Aina Yoyote!! (Wengne Hutoa Mpka Waone Wanapendwa, Ww Toa Hata Kma Anazngua Mpe Sadaka Hiyo Mungu Atakubaliki Sanaaa)
 
Haya maneno yote ni sababu hujamgonga bado.....
Ungekuwa umeonja usingetushirikisha mambo yako.....
Usimpe wewe hujastuka tu...!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom